Recent content by Zagazaga

  1. Zagazaga

    JamiiForums Tanzania Pigo takatifu dhidi ya Chadema muda huu

    Si ushangalie kwani kuna shida!??
  2. Zagazaga

    JamiiForums Tanzania Meya wa Jiji la Arusha, Kalisti Lazaro ahamia CCM. Awashutumu CHADEMA kumkataza kutoa ushirikiano kwa viongozi wa Serikali

    Mjue watu wanawachora tuu.. Mnajitekenya na kucheka wenyewe
  3. Zagazaga

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Jamhuri nalo limeingia mtegoni

    Hata pumzi yako unayovuta ni ya magufuli pia... tondoloveto
  4. Zagazaga

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Shame on you!
  5. Zagazaga

    JamiiForums Tanzania Erick Kabendera: Will I be safe or I may end in the prison tomorrow?

    Ohh kumbe unadata ndo mana unaona sawa tueeh...
  6. Zagazaga

    JamiiForums Tanzania Hakuna mtanzania anayeitamani CCM ile chafu!

    Ebu tupe definition ya mnyonge...manake hatuwaelewi ujue
  7. Zagazaga

    JamiiForums Tanzania Mh Rais Dr Magufuli hatishiwi tena ukimtisha yeye anafanya kweli

    Mtaongea sanaaa lkn malipo ni hapa hapa...nyie endeleeni kusifia.. siku ya kujuta ujue inakuja... na jinsi karma ilivyo hufi hadi umelipwa ubaya wako..
  8. Zagazaga

    JamiiForums Tanzania Ipo siku mtu ataenda mahakamani kutaka uchaguzi usimamiwe na Wageni na atashinda!

    anae tangaza mshindi ni nani!?? mara ngapi hawa makada wanatangaza matokeo feki!?? acha porojo, ukishakuwa na vyama vingin lazma kuwe na fair grounds kwa wote, huwezi weka msimamizi wa nchechemee afu atangaze cdm kashinda wakati bosi wake kashasema hataki hilo.. mmeyataka wenyewe...
  9. Zagazaga

    JamiiForums Tanzania Mdude Nyagali na lugha yake ya kiukosoaji katika mitandao ya kijamii

    Nyie ndo mnaopotosha umma, kwa hyo kilichoandikwa hapa kinatoa uhalali wa mtu kutekwa!??kuumizwa au kuuawa!?? Kwani mahakama ziliwekwa kwa ajili ya nn??? Aliona katukanwa au kadhalilishwa si ilitakiwa aende mahakamani.!??? Jifunzeni kujenga mantiki.. mambo haya sio mazuri kwenye jamii yanajenga...
  10. Zagazaga

    JamiiForums Tanzania Hii ndio rangi halisi ya Magufuli kwa upinzani, mengine yote ni maigizo

    Una akili ndogo sana, aligombea kuwa rais wa ccm??? Aliapa kwa katiba ya ccm?? Ni bora kukaa kimya kuliko kuonyesha upumbavu wako.
  11. Zagazaga

    JamiiForums Tanzania CCM Morogoro yaisambaratisha CHADEMA Ifakara

    Huku ni kujidanyanya sana... kwa sasa chekeni... lkn fahamu anaecheka wa mwisho huwa ana enjoy sana... mnajitekenya afu mnacheka wenyewe
  12. Zagazaga

    JamiiForums Tanzania Nini kitatokea endapo Magufuli atajiongezea muda wa kukaa madarakani?

    Keep joking brooh...keep on....
  13. Zagazaga

    JamiiForums Tanzania Upuuzeni uzushi kuwa ndege ya Tanzania inauzwa nchini Kenya

    Acha kudanganya watanzania, hakuna kitu km hichi duniani... yeyote anaetaka ndege kununua anakwenda kwa mtengenezaji..period... hili la kuwaambia watu eti mtengenezaji ana makubaliano na mteja juu ya ukodishaji ni UONGO mkubwa.... suala la kukodisha ni la mteja pekeee, hakuna wa kuingilia...
Back
Top Bottom