Mh Rais Dr Magufuli hatishiwi tena ukimtisha yeye anafanya kweli

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,188
11,219
Kama Kinana na Makamba wanafikiri kwa kuwa wanajeshi wata mtishia nyau mh Rais basi ndugu zangu subirini mumuone simba akiwala live.

Mh Rais tulie nae sio mtu wakawaida huyu ni mwamba nataka kuwahakikishia walicho kifanya hawa wazee nikutaka kulia kwa kipindi kimebaki nakutoonekana ktk siasa za taifa hili. Nadhan alie wadanganya amewachezea mchezo ambao hawatoweza usahau mpaka kwenye mahandaki yao maana huu sasa ndio mwisho wa mchezo wao na. Mbaya zaidi wamemtaja Mkapa mtu ambaye huwa haongei sana ila ni man of action.

Nijuwavyo mm hakuna jambo linatokea kwa bahati mbaya na huwo ndio ukweli nadhani wakati umefika kama ni kuwatia vitanzi watu nchi ipone basi hilo likubalike maana Mbona China wameweza sisi tutashindwa wapi? Maana kuendelea kuwatunza vijana na wazee wahaini wanao weza fika atuwa mpaka kuwataja maamiri jeshi wakuu Eti wanapingana na Rais basi nadhani imetosha kiukweli kama. Wapo nyumbani kwao na familia zao huo ni muujiza ila nijuwavyo mm na kwa viapo walivyo navyo wanajuwa kile wanatakiwa kujitekelezea ili wengi wapone.

Mwisho niseme usaliti wa chama na taifa adhabu yake nikali sana tuache kuwa wasaliti wa Tanzania yetu.
 
Watu wanatekeleza wajibu wao wa kidemokrasia wewe unawaita wahaini? Wewe ni mshamba kweli na huyo jiwe wako unayemwona kama mungu wako.

Nenda kalisujudie jiwe lako. Safari hii tuone atafanta nini na vile vumkwara mbuzi eti atapoteza nusu ya wajumbe wa NEC.

Ya gujuuu, dhubutuuuuu.
 
Kama Kinana na Makamba wanafikiri kwa kuwa wanajeshi wata mtishia nyau mh Rais basi ndugu zangu subirini mumuone simba akiwala live.

Mh Rais tulie nae sio mtu wakawaida huyu ni mwamba nataka kuwahakikishia walicho kifanya hawa wazee nikutaka kulia kwa kipindi kimebaki nakutoonekana ktk siasa za taifa hili. Nadhan alie wadanganya amewachezea mchezo ambao hawatoweza usahau mpaka kwenye mahandaki yao maana huu sasa ndio mwisho wa mchezo wao na. Mbaya zaidi wamemtaja Mkapa mtu ambaye huwa haongei sana ila ni man of action.

Nijuwavyo mm hakuna jambo linatokea kwa bahati mbaya na huwo ndio ukweli nadhani wakati umefika kama ni kuwatia vitanzi watu nchi ipone basi hilo likubalike maana Mbona China wameweza sisi tutashindwa wapi? Maana kuendelea kuwatunza vijana na wazee wahaini wanao weza fika atuwa mpaka kuwataja maamiri jeshi wakuu Eti wanapingana na Rais basi nadhani imetosha kiukweli kama. Wapo nyumbani kwao na familia zao huo ni muujiza ila nijuwavyo mm na kwa viapo walivyo navyo wanajuwa kile wanatakiwa kujitekelezea ili wengi wapone.

Mwisho niseme usaliti wa chama na taifa adhabu yake nikali sana tuache kuwa wasaliti wa Tanzania yetu.
Mtaongea sanaaa lkn malipo ni hapa hapa...nyie endeleeni kusifia.. siku ya kujuta ujue inakuja... na jinsi karma ilivyo hufi hadi umelipwa ubaya wako..
 
Kama Kinana na Makamba wanafikiri kwa kuwa wanajeshi wata mtishia nyau mh Rais basi ndugu zangu subirini mumuone simba akiwala live.

Mh Rais tulie nae sio mtu wakawaida huyu ni mwamba nataka kuwahakikishia walicho kifanya hawa wazee nikutaka kulia kwa kipindi kimebaki nakutoonekana ktk siasa za taifa hili. Nadhan alie wadanganya amewachezea mchezo ambao hawatoweza usahau mpaka kwenye mahandaki yao maana huu sasa ndio mwisho wa mchezo wao na. Mbaya zaidi wamemtaja Mkapa mtu ambaye huwa haongei sana ila ni man of action.

Nijuwavyo mm hakuna jambo linatokea kwa bahati mbaya na huwo ndio ukweli nadhani wakati umefika kama ni kuwatia vitanzi watu nchi ipone basi hilo likubalike maana Mbona China wameweza sisi tutashindwa wapi? Maana kuendelea kuwatunza vijana na wazee wahaini wanao weza fika atuwa mpaka kuwataja maamiri jeshi wakuu Eti wanapingana na Rais basi nadhani imetosha kiukweli kama. Wapo nyumbani kwao na familia zao huo ni muujiza ila nijuwavyo mm na kwa viapo walivyo navyo wanajuwa kile wanatakiwa kujitekelezea ili wengi wapone.

Mwisho niseme usaliti wa chama na taifa adhabu yake nikali sana tuache kuwa wasaliti wa Tanzania yetu.

Msaliti wa Taifa?

Be serious wewe!

Mmeshageuza usaliti ndani ya chama chenu kibovu ndio usaliti wa Taifa?

Hamna aibu kabisa!
 
Kama Kinana na Makamba wanafikiri kwa kuwa wanajeshi wata mtishia nyau mh Rais basi ndugu zangu subirini mumuone simba akiwala live.

Mh Rais tulie nae sio mtu wakawaida huyu ni mwamba nataka kuwahakikishia walicho kifanya hawa wazee nikutaka kulia kwa kipindi kimebaki nakutoonekana ktk siasa za taifa hili. Nadhan alie wadanganya amewachezea mchezo ambao hawatoweza usahau mpaka kwenye mahandaki yao maana huu sasa ndio mwisho wa mchezo wao na. Mbaya zaidi wamemtaja Mkapa mtu ambaye huwa haongei sana ila ni man of action.

Nijuwavyo mm hakuna jambo linatokea kwa bahati mbaya na huwo ndio ukweli nadhani wakati umefika kama ni kuwatia vitanzi watu nchi ipone basi hilo likubalike maana Mbona China wameweza sisi tutashindwa wapi? Maana kuendelea kuwatunza vijana na wazee wahaini wanao weza fika atuwa mpaka kuwataja maamiri jeshi wakuu Eti wanapingana na Rais basi nadhani imetosha kiukweli kama. Wapo nyumbani kwao na familia zao huo ni muujiza ila nijuwavyo mm na kwa viapo walivyo navyo wanajuwa kile wanatakiwa kujitekelezea ili wengi wapone.

Mwisho niseme usaliti wa chama na taifa adhabu yake nikali sana tuache kuwa wasaliti wa Tanzania yetu.
Rudia kuongea ulichoandika
 
Back
Top Bottom