Recent content by Zacharia102

  1. Z

    Nipeni njia ya kuingiza $2 online kwa siku

    Mkuu nadhan siku 23 tayar tunomba mrejesho please vp hio laki 2 ya pili umefanikiwa kuitoa? Vp hujaanza kuwekeza faida yao? Ushuhuda wenu ndio utatuokoa wengine
  2. Z

    Aliponiona tu ameanza kulia, maamuzi yana gharama zake!

    Ungekula tu uone baada ya mwezi 1 tangu msex anakwambia Nina mimba yako ya miezi miwili (hahaha em kwanza ncheke) ndio utajua hujui nadhan umeelewa Anyway kuwa Kam Mimi silagi matapishi no matter what Kwan wasichana wapo wangap bro mpaka urudie maumiv sahau habari yake achana nae Hata malaika...
  3. Z

    Je, inawezekana kujifunza pikipiki Kama hujui kuendesha baiskel?

    Wakuu Nina miaka 30 now skuwahi kujifunza baiskel Kama vijana wengine kwa sababu za kiumaskin nk. Naomba kuuliza je inawezekana kujifunza pikipiki bila kujua kuendesha baiskel? Kuna aliewahi jifunza pikipiki ile Hali hajui kuendesha baiskel? Huna haja ya kukejeli kuwa mpole
  4. Z

    Kuna umuhimu wa kuendelea kuwaza mtoto hapa?

    Sawa sawa kabisa mi nashauri Ivo pia asubir mtt akiwa mkubwa anajielewa mpe care Kama baba ake mwezeshe Kama ataitaj msaada saa io hatakuwa na shinikizo la huyo pumbav.
  5. Z

    Kuna umuhimu wa kuendelea kuwaza mtoto hapa?

    Sio wewe tu bro Sio wewe tu bro Mi nlinpenda msichana tukakaa kwenye mahusiano mda mref Sasa siku nkamwambia unajua sisi sio Kaka na Dada nkaomba shoo nkaanza kupewa masharti akasem hasex ovyoovyo et kitu chake kitapanuka alaf et kunawatu hawataenjoy so akasema atasex pale tu atakapokuwa tiyar...
  6. Z

    Kuna umuhimu wa kuendelea kuwaza mtoto hapa?

    Ndo Ivo Hamna namna ase huku kwet msichana mtaenda vizur mwanzon Ila mimba ikitunga tu utajuta mzee Yan wewe ndio utakuwa baba na wewe utakuwa mama majukumu yote utabebeshwa wewe majority ya wasichana wengi unakuta ana mtoto Ila Hamna baba Tupilia mbali mjinga huyo akachezewe na midume huko.
  7. Z

    Hivi battery ya N40 unaweza washa gari inayotumia N70?

    Naombeni kuuliza mafundi eti BETRI ya gari mdogo mfano RAV4 unaweza kuwasha gari Kama Hilux inayotumia BETRI ya N70?
Back
Top Bottom