Recent content by Zaccheaus Mollel

  1. Zaccheaus Mollel

    Kwanini watanzania wanapenda zaidi magari ya Japan kuliko ya Uingereza?

    Ukikutana na fundi wa magari anatoa kifaa kwenye gari ukimuuliza anasema hakuna tatizo hapo umepeleka gari kwa muharibifu na sio garage Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Zaccheaus Mollel

    Ukweli kuhusu "kugongwa" kwa Dreamliner ya ATCL,ushindani wa kibiashara na siasa za kutakiana mabaya

    Hivi serikali imejiuliza kwa nini watanzania wanafurahia miradi ya kiserikali inapokwama au kuharibika ?? Kuna chuki ianapandikizwa viongozi fungueni macho mpo kwenye usingizi mzito Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Zaccheaus Mollel

    Kigali Rwanda wanatuzidi nini hasa kwenye usafi, ni mifuko ya plastic pekee?

    Kama machinga wanajenga vibanda juu ya mitaro ya maji ya mvua uantegemea nini? Siku ya usafi cjui nayo ishapaa? ? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Zaccheaus Mollel

    TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

    Mnatumia kodi zetu vibaya mko buyer's sana istead of unities citizens you made a huge demarcation
  5. Zaccheaus Mollel

    Leo dolla imepanda dhidi ya shillingi hali ni tete ndugu zangu

    Mange noma mpaka dola imepanda na shilingi imeshuka thamani dhidi ya $
  6. Zaccheaus Mollel

    Mvua, Dar: Watu 9 Wafariki, Mabasi ya mwendokasi yamesitisha huduma

    Hapo jangwani mlivyofanya upembuzi yakinifu huyo aliyepropose aliyeshauri ndie anatakiwa awajibike kwa ushauri m bovu
  7. Zaccheaus Mollel

    Dini na Siasa: Kuna tofauti kubwa kati ya Maaskofu wa Katoliki na akina Kakobe

    Kushindwa kusimamia ukweli eti kwa misingi kuwa ni usomi uliotukuka hautakuwa na tofauti na baadhi ya maprofesa wa Tanzania wanaokana misimamo yao ya awali walipokuwa upande wa upinzani Hata maaskofu waliohusika na mauwaji ya kimbari huko Rwanda nao walikuwa ni wasomi but they have failed to...
  8. Zaccheaus Mollel

    Botswana imeniingia Akilini

    GIUSEPPE, Picha ya kwanza sio Gaberone bali ni Nairobi zinazofuata sijui
  9. Zaccheaus Mollel

    Fikiria kama mikoa yetu ya Tanzania ingekuwa Nchi

    Mtoa mada una mawazo ya kihaini watakuteka unataka kuligawanya litanganyika
Back
Top Bottom