Recent content by zaburi na likamba

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Nifanyaje ili kwenye hizi tofauti zangu za majina?

    Hapo chakubadilisha ni hayo ya nida maana ya kitaaluma ni vigumu, utaanza kwa wakili au mahakamani na mwisho kabisa nida kweyewe.
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi 💔

    get rich or die trying kumbe msemo huu unafanya kazi, sawa sawa na get mbususu or die with upwiru, hiyo ndoa kila mmoja ameambulia huu ujumbe.
  3. Z

    JamiiForums Tanzania HOJA Veterinary Interns Tanzania Tunaachwa Nyuma – Serikali Isikie Kilio Chetu

    Jaribu intern za ulaya ,ukirudi uje na mtaji wa kuleta maendeleo nchini.
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anataka kujiunga na chama fulani cha siasa. Nina hofu sana

    Dunia ina maajabu kuna mmoja baada ya kushindwa uchaguzi kutetea kiti wanachama wenzake walihuzunika sana ,maajabu familia(mke) aliweka sherehe kubwa kufurahia. Ndoa ilikuwa mahututi kipindi yupo kwenye nafasi .
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Wakuu njiani nzuri ya kutumia ili kuondoa kitambi

    Njia inaitwa kula kidogo ,fanya mazoezi sana ( Eat less,exercise more), usiruke mlo ,jioni unaweza ukaanza na mlo wa matunda tu ,
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Naendelea kuwaambia

    Hujasema tufanyaje mkuu. Maana kuna wanaokufa kwa kuzidisha lishe na wapo wanaokufa kwa kukosa lishe.
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata namba ya NIDA?

    Rudi ofisini ulipojiandikisha utasaidiwa
Back
Top Bottom