Recent content by zabuni

  1. Z

    Timu ya kampeni ya Dr. Magufuli yasambaratika

    Eti wanapiga push up majukwaani hata kule kwetu upareni nyani huwa wanazipiga.
  2. Z

    Taarifa kwa umma kutoka CCM : Wazungumzia Kuhusu Mdahalo na Utafiti wa Twaweza

    2010 ccm walikimbia mdahalo na slaa hata sisi kipindi hiki mgombea wetu ana shughuli nyingi za kufanya.
  3. Z

    Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CHADEMA, Lowassa jimboni Mtama,Lindi - Septemba 23, 2015

    Twaweza,twaweza,wasubiri october 25na twaweza yao.
  4. Z

    Ripoti ya Twaweza ya #SautiZaWananchi: Magufuli na CCM wang'ara dhidi ya wapinzani - Sept 22, 2015

    Twaweza bwana wanasema lowasa anakulibalika na vijana sana,wakati huohuo vijana ndio wengi waliojiandikisha na ndio wapiga kura halafu eti magufuli atashinda!!!
  5. Z

    Ripoti ya Twaweza ya #SautiZaWananchi: Magufuli na CCM wang'ara dhidi ya wapinzani - Sept 22, 2015

    Tushafahamu mchezo mchafu wa huo utafiki wala hatuna haja nao.Wauzindulie makumbusho halafu waonyeshe Lowasa anaongoza!!!.Hatudanganyiki.
  6. Z

    Wanaoishabikia CCM

    Lowassa na Sumaye wenye kila kitu wametoka ccm wewe hohehahe,mlala hoi,choka mbaya unasubiri nini huko ccm?
  7. Z

    Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Chato, Geita - Septemba 20, 2015

    Msimlaumu jamaa huyo ni kijana wa Lowasa kinachofanyika hapo ili ccm wakuamini wewe sio msaliti unatakiwa umtukane lowasa ila faida anayopata ni Msukuma kumletea Lowasa habari za jikoni.
  8. Z

    Lowassa aingiza Waisrael kutoa mafunzo ya Kijeshi, Apson Mwang'onda ndiye anadaiwa kuratibu

    Kama lowasa ataleta jeshi basi hii haina jeshi ccm acheni propaganda mwaka 1995 mlituaminisha cuf walileta majambia ili mtugawe muendelee kututawala.
  9. Z

    Mama Janeth Magufuli agoma kukampeni, acharuka

    Na yeye akiwa kama mwalimu ana machungu na manyanyaso wanayofanyiwa na serikali ya ccm.
  10. Z

    Bulembo: Hatutawaruhusu upinzani kwenda Ikulu

    Hii nchi ni wananchi hakuna mtu mwenye hatimiliki na hii nchi viburi na kauli zenye maudhi zitawaponza hata mzee kingunge alishasema uongozi ni dhamana tu.
  11. Z

    CCM: Magufuli yupo tayari kwa Midahalo; tuna kila dalili ya Ushindi

    Wameona Mbatia tu jana na wao leo kuweni wabunifu sio mpaka muige.
  12. Z

    Rais Kikwete amtaja mhusika wa Richmond

    Jamani swala la richmond tushaambiwa na Lowasa no la nani na mwenye ushahidi wa yeye kuhusika aende mahakamani lakini ni majuzi tu pesa zetu za escrow zimeliwa na watu hao hao wameteuliwa tena kugombea ubunge.
  13. Z

    Rais Kikwete amtaja mhusika wa Richmond

    Wamkamate waone nguvu ya uma.
  14. Z

    TANESCO, tangazeni rasmi kuwa mgao wa umeme umeanza

    Wanaendelea kutupa hasira ya kuwachinja october 25
Back
Top Bottom