Recent content by ZABLON MASINDE

  1. Z

    Alifukuzwa Galanos kwa Wizi wa Mitihani. Leo Mzee wa Chama

    Duh! Huyo mkali enzi za nani hizo Msocha nn?
  2. Z

    Mnyukano wa wanasiasa, Sasa tumeikaribia Tanzania tunayoitaka,

    Napenda sana kauli ya huyu kiongozi, NITAUNDA MAHAKAMA YA KUPINGA RUSHWA NA UFISADI, MAANA TANZANIA YETU IMEFIKISHWA HAPA NA MAFISADI NA MAJIZI MACHACHE, lakin nashangaa wanamwongelea mtu mmoja tu kuwa ni fisadi lakin kauli ya huyu jamaa inaonyesha wingi, tusaidiane kuchambua kauli hii then...
  3. Z

    Kanda ya Ziwa ni Lowassa

    Huku kigamboni Magufuri akija apige mbizi kama alivyotoa kauli yake kama asipopiga mbizi basi asikanyage kabisa maana tutamzomea
  4. Z

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Ha!ha!ha! Mh. Magufuli alituahidi laptop walimu mbona leo shemeji haujatwambia au ndo tupotezee maticha nn? Ila nala la kwenye nyumba ya Tembe
  5. Z

    Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

    Kwan magufuri hizo barabara anajenga kwa pesa zake, mbona watu mnakomaa na CCM wamewapa nn 50 yrs bado nchi inatatizo la Hospital,maji,umeme,elimu na wakati raslimal zipo nyingi tu, Bora huyo huyo Lowasa aingie chin ya UKAWA lengo letu ni kuing'oa CCM that's only
  6. Z

    Wanachama zaidi ya 300 wa CCM wawatupia kadi viongozi wao Kilindi

    Pombe utakabidhiwa kijiti lakin ubebe na chako, maana mliyemtukana kapi sasa yuko on fire
  7. Z

    Hatimaye Dr. Slaa ajitokeza hadharani na kupinga uvumi wa kuhama CHADEMA

    Mi nafikiri Lowasa kuhama CCM ni sahihi kabisa na ninaweza kufananisha na mtu anayehubiliwa kuacha dhambi na kujiunga na kanisa mbona watu wanamzonga sana Lowasa, watu tungeliona kama hili jambo linadhihilisha kukua kwa democracy
  8. Z

    Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

    Tinga tinga anaenda pambana na mwamba
Back
Top Bottom