Well kwa huku kwetu kila moja anajivutia kamba kwake, nimeona tupate viewpoint kutoka kwa 254.
Muungano haukuwa Takwa la nyerere bali takwa la nchi za kibepari kama uingereza wakihofia nchi za ujamaa zisije zikaichukua Zanzibar na kuwa koloni la ki -socialist!!!!Nyerere kama kijana aliekuwa...
Habarini ndugu zangu, ni matumaini yangu mpo fresh.
Mimi ni kijana mhitimu wa chuo ngazi ya degree.
Nimekuwa obsessed kuhusu kubadili uraia wangu kutoka ubara kwenda uzanzibar, Hii yote ni kwa sababu najionea wazi wazi warafiki zangu wazanzibar tuliofahamiana vyuo mbali mbali waliajiriwa muda...
Mkuu mimi nachotaka ni ajira tu niweze kujikimu pia niwe na mda walau wa kupumzika hata masaa machache.
yani hapa nilipo nipo ofisini tangia saa moja nafunga saa tatu na nusu usiku. hii ni kila siku.
siku nyingine biashara inabuma hata msosi unakuwa shida.
Nina mwenzangu nae ni machinga...
kiukweli wanajinoma, yani nawaonea wivu natamani na mimi ningekuwa wa huko, kazi za bara wana 21% na hata zikitoka huwa wanakuwa wachache kuikamilisha basi wanaajiriwaga kirahisi tu, pia na huko kwa wana ajira kwenye mashirika ya serikali ya Zanzibar.
Kwa ufupi ukiwa na elimu ya chuo + ukiwa...
Habarini ndugu zangu, ni matumaini yangu mpo fresh.
Mimi ni mhitimu wa chuo ngazi ya degree katika fani ya uhasibu.
kiukweli nimejiajiri lakini hali si mchezo huku mtaani, ofisini nashinda masaa 14, kila siku lazima niende ofisini yani hata nlikopanga geto kuna wengine hawanijui vizuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.