Recent content by Z-ANTO

  1. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kupewa heshima ya umakamo mwenyekiti. Nitakua mchoyo wa fadhira nisipotia neno kuhusu KATAA NDOA

    Nitaishi na nitakao watunze ila sio mke
  2. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kupewa heshima ya umakamo mwenyekiti. Nitakua mchoyo wa fadhira nisipotia neno kuhusu KATAA NDOA

    Kuishi na mwanamke ni Hatari sana
  3. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada mnavosema mnataka mwanaume wa kuwahudumia, kipato cha huyo mwanaume kiwe ni sh ngapi kwa mwezi?

    Umenena vyema Legend
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Nimekukumbuka Polepole: You made a terrible mistake!

    😂😂😂😂 daah we jamaa
  5. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wanavutia wakiwa wamevaa nguo ila wakivua mvuto hamna

    Wewe ni shoga hii Thread usichangie
  6. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba Bora Hawezi Kutelekeza Watoto Wake Hata akiwa kwenye Ugomvi na Mzazi Mwenzie

    Haya mambo yanauma sana
  7. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba Bora Hawezi Kutelekeza Watoto Wake Hata akiwa kwenye Ugomvi na Mzazi Mwenzie

    Kijana nakusihi Sana usimchukie Baba yako Kwa kosa ulilo ambiwa na Mama yako.....Wengine Tunatamani Baba zetu wafufuke tuwaombe msamaha.....WEWE NI WAKIUME IPO SIKU UTAKUJA KUELEWA
  8. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke age-mate wako aliyekukataa wakati ana miaka 21, atajisogeza kwako akifika miaka 30

    Kumbe huyu jamaa ni Gay?? Ndomana majibu yake naonaga kama simweli kwenye ishu za jinsia .....🙌🙌🙌🙌🙌
  9. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hamtaki mtoto aende kwa Baba ila matumizi mnataka hivi mmerogwa au shida nini?

    Duuuh
  10. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha ya mwanamke huanza akiwa na miaka 18, Maisha ya mwanaume huanza akiwa na miaka 28

    Umenichekesha wewe phala hahahaha
  11. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke age-mate wako aliyekukataa wakati ana miaka 21, atajisogeza kwako akifika miaka 30

    Mkuu "Natafuta Ajira" naomba nikupongeze Kwa kuandika ukweli Mwanamke kwenye early Stage 20's huwa wanachagua maslahi saana bila kujua umri wao wakuthaminika ni mdogo Unakuta binti kamaliza chuo na ana umri wa miaka 24(ambao Kwa umri wa mwanamke hata kuolewa ni Sawa), ukimletea habari za...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tunaposema Jeshi lichukue Nchi kwa sababu Taasisi zote zimejifia tueleweni jamani

    Yakitokea Maandamano Makubwa ,JWTZ litachukuwa Mamlaka ya nchi Kwa mpito na Kufanya Yale wananchi wanacho andamanania, kama ni katiba au mambo mengine.......Mbona Nepal imewezekana......Najua humu watu wengine mmemezeshwa baadhi ya story za jeshi na CCM.....ila ngoja itoke uone Hatua zitakazo...
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Duniani kote hakunaga maandamano ya hivyo

    Lema ndo Nani kwenye Maandamano usimletee matatizo mtu Ambae hausiki, Haya ni maandamano ya wananchi na sio CHADEMA
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Duniani kote hakunaga maandamano ya hivyo

    Una uwezo mdogo wa kufikiria, ila jua wanao Andamana sio wapinzani ila ni Wananchi wenye Takwa lao
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Kama uongozi wa Yanga wanategemea mabadiliko chanya kupitia kocha Folz basi msimu huu Yanga itaishia makundi tu

    Miloud hamed wamemuacha wakaamua kuchukua huu uchafu
Back
Top Bottom