Ona kama hili limbukeni, Sasa kauli gan hizo za kuita wenzako masikini na kusema walaaniwe kisa wanadiscuss maswala ya kujenga, kama kuna Uzi ambao hauflow kwenye priorities zako unakaa kimya,Yan kwamba watu wakiwa wanadiscuss maswala ya kujenga wewe unawaita masikini na kusema walaaniwe, uko...
Hivi nyie binadamu mliopewa neema ya kufanikiwa kwenye biashara zenu na maisha kwann baadhi yenu mnadharau sana watu ambao hawajatoboa? Yani kauli zako ni kama unawachukia masikini, kwann usiwe humble na kutoa ushauri wa do's and don't ili watu wafaidike kupitia wewe kuliko kuwadharau na...
Ahsante sana mkuu kwa kutukumbusha sisi vijana ambao hatujao kufanya jambo hili mapema hata la nyumba ya vyumba vitatu then napiga pembeni ya nyumba vyumba viwili vya nje kama madarasa kwa ajili ya wageni nakuwa nimemaliza,hadi hapo kipato changu kitakachokuja kuwa imara Cha kupiga mjumba mkubwa
Daah kweli mda mwingine ni ngumu sana kusema sisi tuna free will, imagine mtu unajikuta umezaliwa kwenye familia masikini Sana Kila siku ni shida tu, magonjwa na misiba na mnasali Sana, familia nyingine hawako serious kabisa na maswala ya Mungu na wala hawana waganga lakini Wana maisha mazuri...
Daah hapo umenifanya nifikirie Sana, Kwamba Mungu anakujua hata kabla hujazaliwa kuwa wewe ni wa motoni na bado anakuleta hvyo hvyo uje kuungua baadae [emoji849][emoji849][emoji848][emoji848]
Mimi binafsi naamini Mungu katika kristo, kna mambo ya ki-Mungu ambayo nimekosa majibu yake hadi Leo ila bado naendelea kumwamini hivyo hvyo ,Moja ya mambo hayo ni kama vile
1.Nimefundisha kuwa Mungu anajua mambo yote yajayo, hvyo naamini kuwa wakati anawaumba malaika alipaswa kutambua kuwa kna...
Ushauri mzuri,Kuna mzee pale toka nishanunua alikua anamuangalizia alieniuziaga, so nlivyokinunua nikaona ni vyema nimtumie hyo hyo, hata ikitokea watoto wanaenda kuengua Nazi pale huwa ananipigia simu,so ni mtu ambae nimeamua kuwa nae karib na any updates za pale huwa ananipa,na kna sehem...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.