Recent content by Yuyo Ahumile Shamalendi

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Watafiti wa Southampton University wanatafuta watu wa Kujitolea na watalipwa £3,500 au Tsh.10Million

    Na hawa ndio waliosababisha kutokea kwa corona, tangu mwaka 2017 mpaka sasa hivi majibu yamepatikana. Wamewaambukiza watu kifua kikuu wakashindwa kutibu matokeo yake ukatokea mlipuko mpya wa corona.
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Magari mazuri yapo sokoni

    Mkuu nitafutie subaru forester ya diesel, tufanye mazungumzo.
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri biashara ya kusajili laini na kuuza vocha

    Nitakupataje mkuu, kuhusuawasiliano?
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Wanaojua mawasiliano ya TAMISEMI au Wizara ya Elimu nina shida muhimu sana

    Atakaenisaidia kwa ushauri nitamshukuru na atakaenisaidia kwa mawsiano nitamshukuru pia.
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Wanaojua mawasiliano ya TAMISEMI au Wizara ya Elimu nina shida muhimu sana

    Wakuu karibuni mnisaidie kwa hili, ushauri na mawasiliano ya TAMISEMI.
  6. Y

    JamiiForums Tanzania MSAADA, Ñahitaji power invetor

    Kwa hapo Dar nenda kwenye maduka ya vifaa vya Solar utapata kwa bei rahisi sana.
  7. Y

    JamiiForums Tanzania MSAADA, Ñahitaji power invetor

    Kwa huku nyanda za juu kusini watt 150 zinauzwa 25,000 (makampuni ya Sundar, Digtec, Aboder, Panasoanic na mengine mengi bei ni hiyo hiyo)
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Wanaojua mawasiliano ya TAMISEMI au Wizara ya Elimu nina shida muhimu sana

    Mkuu kuhusu huyo nilielekezwa hivo hivo nikawaelewa ofisi ya sekondari Wilaya. Shida ni kwamba akifaulu kwenda form five atatakiwa awe na cheti cha kuzaliwa, na cheti cha kuzaliwa hawawezi kutengeneza majina tofauti na ya mzazi hasa jina la tatu, maana huyu wa form four jina la kwanza liko...
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Tunamlaumu kiongozi mkubwa kumbe madudu yapo huku chini

    Mkuu hapo kwenye katiba nimekuelewa.
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Wanaojua mawasiliano ya TAMISEMI au Wizara ya Elimu nina shida muhimu sana

    Wakuu habari, kama nilivozungumzia kwenye kichwa cha habari. Nina shida na mawasiliano ya TAMISEMI kwa anayeelewa niingieje kwenye website yao au email yao, vilevile sina email yao wala website yao, naombeni anayefahamu mawasiliano yao anisaidie. Bila kujali ngoja niwaeleze tatizo linalonituma...
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Tunamlaumu kiongozi mkubwa kumbe madudu yapo huku chini

    Ukikuta wakina mama umewaudhi wanaongea kwa jaziba na hao ndo wapiga kura wenyewe, unatakiwa urudi nyuma ukarekebishe mapungufu.
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Tunamlaumu kiongozi mkubwa kumbe madudu yapo huku chini

    Hii habari naona waheshimiwa watakua hawajaiona au kwasababu wako busy na kampeni hawapiti kwenye uwanja huu, kazi kwao manaake mapungufu hayo ndo yanayosababisha wapate ugumu kwenye kampeni.
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Tunamlaumu kiongozi mkubwa kumbe madudu yapo huku chini

    Wakuu mwenye swali na aulize atajibiwa.
Back
Top Bottom