Recent content by Yusuph2

  1. Y

    Wanachama 22 wa CUF mbaroni kwa tuhuma za kupanga njama za kufanya fujo

    Mbona hawakuwakamata waliovunja milango ya ofi
  2. Y

    Waziri gani katika awamu hii ya tano anaweza kukumbukwa kwa utendaji wa uzalendo?

    Mawaziri wa magu sahivi wamepoteana aliebaki ni umy mwalim pekee
  3. Y

    Katibu Mkuu wa BAVICHA Taifa, Julius Gabriel Mwita akamatwa na Polisi

    Kati ya serikali na chadema nani anaetumia mabav
  4. Y

    RPC Singida: Tunawasiliana na TCRA uwezakano wa kumfungia Tundu Lissu kwenye mitandao ya Kijamii

    Hivi kwann wakuu wa polisi ma RPC wasiwe watu wenye elim angalau ya sheria ilikuepusha serikali kupoteza muda kwa vitu visivyo vya msingi
  5. Y

    Mrema atoa siku saba kwa Paul Makonda kujieleza

    Mrema yupo kwaajili ya kutuongezea siku kanifrahisha sana
  6. Y

    Rais Magufuli hakuziona juhudi za hawa watu?

    Na Husen H kitambi nae alikuwa anapigania UDC tuache utani kwa pumba zile ataweza wap jama ni mwacheni aendelee kulima mpunga tu
  7. Y

    Mdahalo wa katiba TEKU

    leo hii wajumbe wa iliyokuwa tume ya kukusanya maoni ya katiba mpya wamekuja kutoa elim ya katiba mkoani mbeya
  8. Y

    Tulioacha na kuachwa tukutane hapa kwa ushauri

    mm nimeachwa na mwanamke akiwa na mimba yangu kisa cna pesa na mtoto nimedhulumiwa
  9. Y

    Bajaji inauzwa

    bajaji TVs inauzwa bei sh 4000000 maongezi yapo inahali nzuri kabisa kwa anaehitaji tuwasiliane nimtumie picha whatsapp 0755142774
  10. Y

    Sitta afanya maajabu ya karne

    alaaniwe yeye na wenzake wote walioshirika kutufanyia dhihaka watanzani
  11. Y

    Natafuta simu ya screen touch nzuri kwa elfu 70

    ninayo tecno ila inatatizo la spika nipo mby
  12. Y

    Yaliyojiri katika Uchaguzi wa Viongozi wa BAVICHA Taifa - Mlimani City, Dar

    naona wameanza unapita wimbo wa taifa
  13. Y

    John Mnyika, Paul Makonda na Humphrey Pole Pole kuwasha moto wa Katiba Ubungo Plaza leo

    sasa huyu anaesema Zanzibar iliungana ikiwa na katiba take wakati huohuo anasema Tanganyika haipo je hiyo Zanzibar iliungana na nani?
  14. Y

    Kwanini Kikwete asivuliwe uanachama kwa kukiuka ilani ya CCM

    jk anatekeleza ilani ya chadema maana kila alichokiahidi Dr slaa ndicho anachotekeleza katoka kwenye katiba sahizi ameanza na elim ya sekondari bite. wakati alisema haiwezekani cjui amejisahau?
  15. Y

    Bajaji inahitajika

    da Lindi siwezi Mzee mm nipo mbeya
Back
Top Bottom