Recent content by yusuph de brave

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Harmonize muda sio mrefu atakuwa star namba moja WCB badala ya Diamond..

    Yan anaimba kama Diamond af amzidi Diamond nadhan utakuwa unaota
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Dullah Planet(EARADIO/EATV) weka wazi WCB wamekukosea nini?

    Yaan kila MTU anatumia jina LA mond kuweka vibifu ujinga,wanapoteza mda WCB upige nyimbo usipige utajua mwenyewe na kwa diamond utampiga tu maake yupo kwenye matangazo km cocacola sasa ukijidai unachuki na mond lazima ujampe,ukifikq nyumbn kwako watt wako wanacheza ngororo,mama anaimba...
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Je kuna bifu kati ya Shigongo na Diamond?

    Kiufupi ni kwamba kama unakumbuka kulikuwa na show ya harmonize ilitakiwa ifanyike dar live makubaliano mwanzon kbla ya promotion yalikuwa poa,baada ya promotion kuwa kubwa kutoka kwa team ya mond Erick akahairisha akasema anahitaji percent nyingi zaid menejiment ya diamond ika kataa,so baada ya...
  4. Y

    JamiiForums Tanzania WCB wabadilike uimbaji

    Ni kweli jaribu uimbe ww ili ulete ladha tofauti sio kuongea tyuu,af hao wasafi wanaimba ivo mbna ndo wanaongoza kwa kusikilizwa si muwape masikio watu wengine nilitegemea ungeandika kuhusu msanii kama FOBY AU IBRA NATION
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Mama Diamond amchenjia Soudy Brown hadi akakosa pozi

    Mwanangu ndio maana ya journalist na huyu yupo kitengo cha paparazzi kwahyo ata umpige ngumi hawezi acha hahaha
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Mama Diamond amchenjia Soudy Brown hadi akakosa pozi

    Hawana namba yake af anabadilisha sana namba yule
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye msanii mwenye mafanikio makubwa kuliko yeyote Tanzania nzima

    Oya msitudanganye na uongo wenu AY hajawahi taja hela halizonazo kwanza af kipindi cha mkasi/ngazikwangazi anamiliki asilimia cio chake sasa ww unasema anamashamba sio ttzo masanja mkandamizaji unajua hana heka ngp za kilim cha mpunga ukiacha mengine kwahyo angekua ametaja kiasi alichonacho...
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Shukran endelea kutupa elimu zaidi
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Perfume ya Diamond (Chibu) haina quality

    Oya andika vitu vya maana sio upuuzi huu Kama umenunua ni mbaya c ww mwenyew,kwani aliweka sokoni akulidhishe ww,nenda kweny forum za udaku utoe ushuzi humu
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Clouds Media Group kuhusu Diamond

    Diamond aliposahv wakumshusha ni MUNGU tu hawawengine hamna mbna eatv earadio hawapigi na akawambia mnajipotezea mda Diamond sio mziki tena ni jina ndo linauza kwahyo tulia muvi liendelee
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Clouds Media Group kuhusu Diamond

    Labda tu nikwambie we ulieandika upuuzi huu sahau kihusu hilo, kwanza kwenye nyimbo hajapromote mtu,ameongelea hali halisi iliopo,kwa ss kiufupi diamond kishushwa na vyombo ushuzi sahau,diamond na ruge,kusaga,majay ni bampa to bampa kwahyo sahau
  12. Y

    JamiiForums Tanzania EATV na EA radio wamjia juu Diamond , kisa kusema hategemei redio na Tv pekee

    We unaejua nambie Mara ya mwisho mond kwenda FNL, ilikua lini au unakurupuka
  13. Y

    JamiiForums Tanzania EATV na EA radio wamjia juu Diamond , kisa kusema hategemei redio na Tv pekee

    NAMBIE MARA YA MWISHO MOND KUITWA FNL? AU UNAONGEA TYUU USIVYOVIJUA MARA YA MWISHO NI ALIPOENDA NA RAYVANY TENA ALIKUA AMEVAA KANZU KIPINDI NDO SALOME IMETOKA
  14. Y

    JamiiForums Tanzania EATV na EA radio wamjia juu Diamond , kisa kusema hategemei redio na Tv pekee

    Hakuna kitu kam hicho,hakuna wakumuangusha mond TV ni moja,mbna wizkid alikua na mgogoro na MTV,psquare wana mgogoro na soundcity wameyamaliza juzi TV WALA RADIO CO MOJA WASIPOCHEZA CLOUDS, TV E, WATACHEZA WAKT WAO EISHA
Back
Top Bottom