Recent content by yusuf chaula

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Onyo: Abiria ukipakiwa kwa bodaboda, kama hujavaa kofia/helmet wanakutia ndani na faini 30,000

    Km hutak kuvaa kofia tembea na 30000tsh
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Mwanzilishi na muasisi wa UKAWA ametelekezwa

    Pole kama hukujua hiyo ndio siasa komaa kivingine hakuna kuaminiana
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Kwanini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio hatupati waume wa kutuoa?

    Jarib kua sirias hruf mbaya unene havina uhusiano mpigie mwalim wako akukumbushe
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Kwanini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio hatupati waume wa kutuoa?

    Makalio na unene sio sifa kwa muoaji bali ni sifa kwa muolewaj ndio sbabu mke mwenye sifa hizo hapo ju anajisikia sana lakin kwa vyovyote vile tumtegemee mungu kwan kila kitu ni chake
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kubadili dini na kuwa Mwislamu

    Kubadili din in haki yako lakin hao uliowataja hawakamilishi uislam wala ukristu na kubadili din haimanishi utaingia pepon pambana kusoma kwa bidii vitabu vya mungu na tenda yaliyo mapenzi ya mungu utafika unakotaka achana na hao binadam
Back
Top Bottom