Recent content by Yussuf senga7

  1. Yussuf senga7

    JamiiForums Tanzania Nimetafutiwa kazi Canada, naomba ushauri wa namna ya kufika

    Mimi sio mwandishi mzuri sna ila ninaomba ushauli nina ndugu yangu anaishi Canada kanitaftia kazi ya delivery sijawai fika. Naomba mwenye uzoefu wa kusafiri na ni nchi gani nikienda itakua raisi mimi kwenda Canada sina pesa za kunitoa hapa Tz mpk Canada.
  2. Yussuf senga7

    JamiiForums Tanzania Utambulisho kidogo

    Karibu sana
  3. Yussuf senga7

    JamiiForums Tanzania Hello everyone

    Me ni mgeni naomba mwongozo na maelekezo shukran kwa muda wenu
  4. Yussuf senga7

    JamiiForums Tanzania Maumivu makali ya mgongo (back pain) na tiba yake

    Nina matatizo ya maumivu ya mgongo saiv inaweza kuchukua ata miaka mi3 waga unauma unaacha kwa yyt anaeweza nisaidia ushauri au dawa naomba anisaidie
  5. Yussuf senga7

    JamiiForums Tanzania Ninunue simu ipi kati ya hizi kwa bajeti hii?

    Not 11
Back
Top Bottom