Recent content by yussuf mohammed yussuf

  1. Y

    Mafunzo ya kumjua mwema na mbaya

    Habari zenu ndugu zanguni katika ukurusa huu wa jamii forums naomba kupata mafunzo maalum yakuweza kumjua mtu alie na wema kwangu na alie mbaya kwangu na nipate mafunzo ya kuweza kuwasoma watu wenye tabia mbali mbali. Sent from my iPad using JamiiForums
  2. Y

    Nyoka aina ya msanga anafaa kufugwa?

    Naomba kuuliza kwa ndugu zangu wanajamii wote je? Nyoka aina ya msanga anafaa kufugwa?
Back
Top Bottom