Kwema wanajamii?
Naombeni mawazo kidogo, nikifika nyumbani mtandao unasumbua hivyo kuhusu suala la kuwa online linakuwa gumu. Kuna njia gani naweza tumia ili niweze endelea kuwa online?
Wakuu, habari za kazi?
Samahani kwa usumbufu. Nina biashara ndogo ya vifaa vya simu (phone accessories), lakini ninahitaji kuongeza mtaji ili niweze kuagiza mzigo mwenyewe kutoka China na kuuza kwa jumla. Naomba msaada kwa mwenye uzoefu katika hili tafadhali.
Asante.
Kwamfano unaitak kwenda sehem na ukaambia kwaiosehem unayo enda ukitembea 40mph ( 64km/p) utaweza tumia samoja nanusu
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.