nimetolea mfano kuwa ata tukijilingansha nao bado kuna mitaa ilio tengwa mfano kama io kibira na mtaa mingine kuna mijengo mingi sasa shida unaita mtu zuzu wakati umekaa zako huko zimbili unakula miwa.
kenya wapo mbele sana
kuanzia uchumi
na mengineyo
mie sitetei sana ila amin kenye ipo mbele
mfano _ukisema majengo kuna sehem zilizo nje ya mji tena zile kwao wanasema wanaish wasio na hela mfano kuna kibira huko kuna dandora huko relin ila n maghoro sio yale ya kitoto.bei ya chumba KSH 5000 HAD...
n kwel usemalo ila mimi kwa sasa ningepata kaz yoyote ambayo ningesema nifanye ingelikuwa bora sina sabab ya kubagua kazi kikubwa isiwe haramu katika jamii na iwe kazi ilio salama tu.nitafanya
kuna vitu mtu unaweza kuongea ila inakubid utulie tu
mimi kama mimi namlaum mtu alie leta wazo la...
mie naimani hakuna alie zaliwa kuja kufanya kazi rahisi na wengine waje kufanya kazi ngumu n maisha tu hutokea na humlazim mtu kufanya kaz yoyote mie kama ipo niambie nijue nafanyaje
unajua mtu anapo andika kitu kwenye halaiki ya watu inamanisha anahitaj msaad na pia pengine kafika mwisho wa fikira zake kwaio ni vyema mtu utumie tu busura kumjib mtu kitu kama huwezi n vizur pia kusoma na ukakaa kimya
bado sijampata mhisika alie nitumia namba niongee nae nimepigia ila haipokelewi tangia asbhi
whatsup pia hajanijib pengine yupo busy ila sijafanikiwa kwa lolote
niamatumian yangu wote wazima nami namshukuru MUNGU kwa yote
ndugu zangu kwa majina naitwa yusuph wambura. napatikana dar
kilicho nisukuma mimi mpaka kufikia hatua ya kuvunja ukimya wangu n matatizo yalionipata mimi na kuamua ni kheri nitumie njia hii kuwafikia watu pengine naweza nikapata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.