Recent content by yunuskb

  1. yunuskb

    JamiiForums Tanzania Walimu: Kongamano udsm hapo kesho, ccm itatutambua.

    Na iwe hivyo
  2. yunuskb

    JamiiForums Tanzania kutoka uspika wa bunge mpaka uenyekiti wa katiba

    Huyo mzee tangu alipotishiwa kunyanganywa kadi, na akatemeshwa uspika, hadi leo yupo frustrated,
  3. yunuskb

    JamiiForums Tanzania Wananchi "TUNAOMBA NAMBA YA SIMU YA SAMWELI SITTA

    Na mm naitafuta, kama noma na iwe noma
  4. yunuskb

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM wanataka Serikali Mbili, sababu za kiusalama zaidi

    Major mwendwa nadhani umemuelezea huyu bwana vizuri kabisa, lkn pia afahamu kuwa maneno ya Nyerere c wahayi kwamba yako sahihi 100%, na kama ni kweli ccm wangefata baadhi ya mambo mengi ya nyerere, nchi hii isingekuwa hapa, na kama angekuwepo, naamini angesharudisha kadi
  5. yunuskb

    JamiiForums Tanzania CCM si wasikivu. Wananchi tuchukue hatua!

    Tunapaswa kujitafakari watanzania, ccm hawatufai tena
  6. yunuskb

    JamiiForums Tanzania Wasifu wa Ally Salum Hapi

    Ni mdogo wake na Lukuvi (kilaza )
  7. yunuskb

    JamiiForums Tanzania Ccm wanatuchimbia kaburi katiba mpya

    Kila lenye mwanzo lina mwisho, na wao mwisho wao upo, si wanasubiri tuwe wangi tunaowakataa? Na tunazidi kuongezeka kila kukicha
  8. yunuskb

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa Wassira - Wajibu wa BMK

    Ccm wana laana
  9. yunuskb

    JamiiForums Tanzania STAR TV LIVE: Mamlaka ya Bunge la Katiba

    Huyu mtoto ananiboa mm, basi tu
  10. yunuskb

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa Wassira - Wajibu wa BMK

    Msikilize malaya mwingine wa ccm yupo star tv live anabwabwaja
  11. yunuskb

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa mwalimu wa yule kijana aliyeponda takwimu za tume ningempa adhabu!

    Vibaraka wa ccm wasiojitambua
  12. yunuskb

    JamiiForums Tanzania Bora ukawa waliotoka kuliko waliobaki

    Lakini pia, muundo wa serikali ndiyo MOYO wa rasimu ya pili ya katiba, kama muundo unavurugwa, ni dhahiri kuwa rasimu nzima inakuwa haipo,
  13. yunuskb

    JamiiForums Tanzania Namtizama tundulisu channel 10 saivi anatoa maelezo kuhusu mchakato wa katiba.

    Yuko sawa jamaa, mm binafsi na familia yangu, tutawaunga mkono
  14. yunuskb

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa Zitto Kabwe kuhusu Katiba mpya

    Sorry kwa mnaovutana, ila mbona mm leo nimemsikiliza zitto asubuhi star tv, jamaa ana point za msingi sana, na ameonyesha kukubaliana na kilichowatoa ukawa bungeni, na hata yule malaya mmoja wa CCM alipoonyesha kubeza zitto alimpinga wazi wazi
Back
Top Bottom