Recent content by yunus kb

  1. yunus kb

    Taarifa za Habari leo zatawaliwa na wananchi maelfu kuhama toka CCM kwenda CHADEMA

    Dah, kama na huyu jamaa ameiasi ccm, basi hakuna wa kuipenda tena, labda nape na kinana, kweli lowasa noma
  2. yunus kb

    Ebu jaribu kusoma labda utajionea huruma na kuwahurumia wale wanaoteseka katika nchi hii ya Tanzania

    Siyo kweli kwamba walioko ccm wote ni hovyo, tatizo ni mfumo, mfano mdg ni mtoto aliekua na kusomea shule za kata au kawaida, mara nyingi huwa ni watukutu, akienda seminary huwa anabadilika na kuufata mfumo wa seminary, vivyo hivyo wale wanaotoka ccm na kuja ukawa, hawana namna nyingine zaidi ya...
  3. yunus kb

    Kauli ya Nape kwa wanaCCM

    Nitawashangaa wana CCM wale walioshindwa ktk kura za maoni za udiwani, ubunge na urais kuendelea kubaki ktk chama hiki baada ya kauli ya jana ya Nape katibu wa itikadi na uenezi, Nape alisema anashangaa vyama vya upinzani kuchukua oil chafu maana injini zao zita nock. Ninachojua mm ni kuwa...
  4. yunus kb

    Yaliyojiri Agosti 4/2015 katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Ukumbi wa Mlimani City, DSM

    Wafa maji hawaachi kutapa tapa, waacheni jaman, dawa ndo inawaingia #VIVAUKAWA
  5. yunus kb

    UKAWA waita Wahariri, waahirisha ghafla na kuomba radhi

    Swadakta, by hooks and crooks, ccm lazima itoke tu, hakuna namna nyingine
  6. yunus kb

    Kipaumbele cha Magufuli ni Ilani ya CCM

    Pamoja na ilani ya chama, na yeye kama yeye anapaswa kuwa na priorities zake, kwan kikwete alipoanzisha mchakato wa katiba ilikuwa kwenye ilani?? Lazima awe na vision na mission,.. Mkapa aliwahi kuiweka ilani ya chama pembeni akafanya yake
  7. yunus kb

    Jenerali Ulimwengu, njoo kivingine!

    Mi nadhani unakosea kum attack jenerali ulimwengu, ni haki yake kikatiba kumtaka anaemtaka, kuna watu leo wanaomuona magufuli kama malaika fulani, lakn wapo wanaompinga, hata akija Hittler leo, hawezi kukosa wafuasi, vivyo hivyo EL asingeweza kukosa wafuasi, na kwa taarifa tu, uimara wa EL na...
  8. yunus kb

    GE2015 Ni Tundu Lissu pekee(Sababu moja sifa kumi)

    Alishasema hapo awali akihojiwa na mkasi tv (salama ),alisema urais siyo rank yake
  9. yunus kb

    Mkosamali: Tulifanya vurugu ili tufukuzwe Bungeni

    Ofference ndo nn??
  10. yunus kb

    Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge yawaadhibu wabunge 5 wa Upinzani

    Huyo Rutashobollwa muhaya wa wapi asiye na akili?? Wahaya tupo very bright ww, acha kuongea ujinga, yani hujiskii vibaya kwa yanayofanywa na spika na genge lake, shame on u spika +rutashobollwa
  11. yunus kb

    Wabunge wa CCM tunaowaheshimu mko wapi?

    Kumpata mtu wa kutetea maslahi ya taifa ndani ya ccm, ni sawa na kupata damu kwenye jiwe,... Umeandika vizur broo, cjui wanapita hapa
  12. yunus kb

    David Kafulila ndani ya kipindi cha DAKIKA 45 ITV

    Huyu jamaa ni kichwa aisee, yani ana vitu vingi tena vya msingi, hata akihojiwa siku nzima, huwezi choka kumsikiliza, big up bro D.Kafulila
  13. yunus kb

    Mafao ya wabunge ni kufuru, Kila mmoja kupata Tsh. milioni 230

    Zitto muhuni, alikuwa anazuga eti hachukui sitting allowance ya bungeni lkn akienda kwenye kamati za PAC anachukua kati ya laki 6-8,na hotel analipiwa 5star,na makando kando kibao ikiwemo ticket ya ndege tena business class, au mafuta ya gari, huo ni usanii wa zzk
  14. yunus kb

    CCM wanapenda namba lakini hawajui hesabu

    Mm nipo bukoba, ya mwanza cjui, cement aina zote, simba, twiga, tembo n.k
Back
Top Bottom