Recent content by yungwe

  1. yungwe

    JamiiForums Tanzania Rwanda wanajenga kinu cha Nyuklia; sisi bado tuna maono ya kujenga madarasa miaka 60 ya uhuru

    "Elimu ni ukombozi " wakati mwingine napata wasiwasi , kutokana na mambo yanayofanywa na wasomi wa nchi hii. Angali watu wenye PHD Tanzania , wanafanya mambo ya ajabu ajabu ambayo inafikia mahali naona elimu haina maana yoyote
  2. yungwe

    JamiiForums Tanzania Mohammed Mchengerwa apunguze vitisho kwa watumishi na viongozi wa umma

    Yupo sahihi Mungu amtangulie.
  3. yungwe

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu ( HESLB) imetengeneza chuki kubwa kwa riba ya asilimia 15%

    Mwalimu Nyerere aliwasomesha hawa jamaa bure , Leo wao wanatukandamiza hivii ?
  4. yungwe

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda vijijini (Tanganyika) ni jipu, mamlaka zimfuatilie

    Acha wivu , miongoni mwa wakurugenzi ambao wapo vizuri sana ni pamoja na huyu wa Tanganyika, mwacheni DED achape kazi wewe pambana na hali yako !
  5. yungwe

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni , kiufupi JPM ni kiongozi mzuri , Mungu ampe maisha marefu , huyu mzee kafanya mengi sana.
  6. yungwe

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli, ongeza mishahara mwezi huu, watumishi watakuelewa

    Mh kikwete katika uongozi wake pamoja na ufisadi mwingi uliokuwepo aliweza kuongeza mishahara kila mwaka.
  7. yungwe

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli, ongeza mishahara mwezi huu, watumishi watakuelewa

    So sad Inaumiza sanaaa , Nikikumbuka machozi yanatoka, sijui hawa jamaa tumewakosea nini ?
  8. yungwe

    JamiiForums Tanzania Maisha yamekuwa rahisi sana kwa wahitimu wa vyuo na Wafanyakazi wa Serikali Tanzania

    Hii ya Wafanyakazi sijui ! umebugi
  9. yungwe

    JamiiForums Tanzania Kupandishwa vyeo, mishahara na mengineyo: Watumishi wa umma mna maoni gani?

    Ebagabo mulagowee
  10. yungwe

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mufindi: Mgombea Udiwani CHADEMA ajitoa, alaumu chama kukosa Sera na Ilani

    Jina lenyewe anaitwa YUDA
  11. yungwe

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu aahidi neema kwa Madaktari, Walimu na Vyombo vya Dola

    Mwingine anasema atahakikisha anagawa wali kwa wananchi
  12. yungwe

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu akiwa Iringa: Upinzani ni Watu, ukitaka kuua Upinzani ua kwanza Watu

    Shida hawana kadi za mpiga kura
  13. yungwe

    JamiiForums Tanzania Karimjee: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Aprili 22, 2020 atakuwa mgeni rasmi katika maombi ya kitaifa ya kuombea nchi dhidi ya janga la #COVIDー19

    Tunatakiwa kuomba huku tukichukua tahadhari Mungu atatusaidia. Huu utaratibu wa kuomba huku tukiendelea kuacha mikusanyiko na mwingiliano kwa miji iliyo na maambukizi ni kuhatarisha usalama na ustawi wa wananchi. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom