Wewe na yeye wote ni vichwa maji yaani tunaenda kwenye mashindano ya kufuzu afcon yeye analeta drama za jezi hatma yake wachezaji wametoka kwenye focus tumefungwa vibaya sana nyumbani
Hizo pesa za tonetone ni kwenu nyie CCM mpaka mzihoji? kwanini msihoji pesa zinazopote ambazo ripoti za cag kila mwaka kuna mabilioni hayajulikani yanaenda wapi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.