Recent content by yujinah

  1. Y

    JamiiForums Your help please

    Kumsaidia mtu ni hiari tu wala haina maana kumsema kwa kejeli. Kama ukiona haijakupendeza ni vyema ukapotezea tu ndugu yng.
  2. Y

    JamiiForums Your help please

    ID ipi unayoizungumzia ndugu mbona mm sina ID tofauti na hii
  3. Y

    JamiiForums Natafuta Marafiki

    Upo Belgium?
  4. Y

    JamiiForums Natafuta Marafiki

    Thank you, nice to meet u too
  5. Y

    JamiiForums Natafuta Marafiki

    Pouwa lakini wapo wengine wanaweza kuwa hawapendi uzi wangu ndio maana niliomba kibari. Maana ss binadam tunatofautiana mitazamo
  6. Y

    JamiiForums Natafuta Marafiki

    Ok
  7. Y

    JamiiForums Natafuta Marafiki

    Hello guys Ombi langu kwa Mtanzania yyte aliefanikiwa kujiunga na chuo cha Antwerp Belgium tuwasiliane PM, anisaidie kujua mambo flan ili nikamilishe stage ya pili ya maombi yangu ya kujiunga na chuo hicho. Thank you in advance Kind regards
  8. Y

    JamiiForums Natafuta Marafiki

    I Yujinah a female not a male. Nimeandika hapo juu aliepo Antwerp anitext inbox nami nitarespond.
  9. Y

    JamiiForums Natafuta Marafiki

    Nimeandika hapo juu aje inbox tu hapana neno.
  10. Y

    JamiiForums Natafuta Marafiki

    Hello guys Ombi langu kwa Mtanzania yyte aliefanikiwa kujiunga na chuo cha Antwerp Belgium tuwasiliane PM, anisaidie kujua mambo flan ili nikamilishe stage ya pili ya maombi yangu ya kujiunga na chuo hicho. Thank you in advance Kind regards
  11. Y

    JamiiForums Your help please

    I Yujinah an applicant student for MSc at University of Antwerp in Belgium. Here I'm seeking for your help b'coz kuna vitu vichache vinanichanganya hasa kuhusu legalisation ya documents zng ili niweze kukamilisha process. Mtanzania aliefanikiwa kujiunga na chuo hiki naomba tuwasiliane PM...
Back
Top Bottom