Recent content by yuda2

  1. Y

    JamiiForums Tanzania ........duh nimeisha....mwili unamtaman sana huyu

    Kama bado unakipenda hicho kichumba chako unamshobokea huyo mchizi yanini? Acha tamaa za kimwili we binti.
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Mijimama kumbe nomaaa

    Au kwasababu mijimama ina miela ndio maana inashobokewa.
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Mijimama kumbe nomaaa

    Vijana 2punguze njaa jamani kwanza hiyo mijimama ina2maliza hata nguvu za kiume 2cwe na tamaa ya kihivyo vijana wenzangu.
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Nimemuonga mpenzi wangu naye amemuonga jamaa, ushauri tafadhali

    Dah!pole swahiba kwanini ucwe kama mm mwenzio nimeonga NOKIA ya tochi? Fanya kama umejikwaa nyanyuka pangusa mitako yako sepa.
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Hivi Kwanini Wanawake Wana Wivu Sana??

    Wazushi tu kudadeki zao c wivu c lolote uwizi m2pu.
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Je utafanyaje?

    Kwanza kabisa unatakiwa uweke hasira zako kapuni.
  7. Y

    JamiiForums Tanzania wats up

    Jaman naomben mnikaribisheni.
Back
Top Bottom