Recent content by Yu jin

  1. Yu jin

    Rais Magufuli: Ajira mpya zinaendelea, zilisimama kwa miezi miwili pekee

    Wakuu salaam Mnamo mwezi june mwaka huu 2016 bunge la bajeti liliweza idhinisha takribani ajira za watu Elfu sabini na moja, ikiwemo Manesii, madakitari, walimu na Laboratory technicians. Kwa mujibu wa taarifa ya bunge la bajeti, watu hao ilibidi waajiriwe mapema mwezi July mara tu baada ya...
  2. Yu jin

    Fitness and wellness

    Thanks much buddy
  3. Yu jin

    Fitness and wellness

    Kuongeza muscles
  4. Yu jin

    Fitness and wellness

    Huwa nafanya program kubwa nne kila siku 1:running dakika 15 2:push up dakika 10 3:Hevy lifting dakika 50 4:kuruka kamba dakika 20 Matokea nimeyaona na tayari nishakuwa addicted bila zoezi nakuwa kama naumwaa Naomba ushauri kipi niongeze ili nipate matokea bora zaidi maaana sina...
  5. Yu jin

    Fitness and wellness

    Ipi inatoa matokea haraka kati ya hizi 1-Hevy lifting + kuruka kamba 2-Hevy lifting pekee 3-kuruka kamba pekee 4-push up +kuruka kamba 5-kukimbia +push up +lifting
  6. Yu jin

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Takribani miezi kumi sasa tangu watz wachague wabunge madiwani na rais wao mnamo October 25 2015 Raisi aliaanza vizuri sana, na akasisitiza raia waungane kumwombea ili uongozi wake ulete tija kwa haraka. Mpaka sasa kuna sintofahamu juu ya haya mambo yafuatayo 1-Sukari na bei elekezi bado ni...
  7. Yu jin

    Bado una shauri vijana wajiajiri kupitia kilimo

    Upotoshaji?? We si upo dar, endelea kusoma dictionary ya upotoshaji
  8. Yu jin

    Bado una shauri vijana wajiajiri kupitia kilimo

    Wewe uliyeajiriwa upo ofisini, acha kudhalau na kuwaona vijana kama hawana jipyaa kisa wapo tu wanasubiri ajira Eti nendeni mkalime huko vijijini, akishalima, akavuna apeleke wapi?? Viwanda hakuna, Ajira mpyaa hakuna, masoko hakuna [emoji57] [emoji57] [emoji57]
  9. Yu jin

    Rais Magufuli asema anaweza kubadilisha noti kudhibiti wanaoficha hela...

    Tangu nisikie hii kauli, nipo natafuta theory hii ya uchumi Kuwa pesa ziludishwe kwa mzunguko ili kuondoa ukata Lasivyo anatoa noti mpya..... Ngoja nitafute nauli niesepe zangu South
  10. Yu jin

    Rais Magufuli wapatie wanafunzi walimu

    Raisi atoe kibali cha Ajira, walimu wamejaa huku mtaani kalibia wataanza kutuibia kuku huku Au hazina ndio hakusomekiii
  11. Yu jin

    It's shameful to be regarded as a member of CHADEMA

    Hiki kijingereza cha vibwetani huoni haibu....
Back
Top Bottom