Hivi karibuni, “China Haul” imepata umaarufu mkubwa kwenye mitandao ya kijamii duniani. Kutoka droni, hadi vipaza sauti visivyotumia waya, kutoka vifaa vya nyumbani, hadi mavazi ya kisasa, watu wenye ushawishi wanafungua na kuonesha bidhaa zilizonunuliwa nchini China, na kuvutia mashabiki wengi...