Ulinzi wa wananchi upo mikononi mwa nani??
Kwanini mashambulio haya yanawafuata sana viongozi wa vyama vya upinzani tena wale wanao ikosoa sana serikali?
Kama sio mzandiki, utanipa jibu linaloendana na tamko lililotolewa na hao unao watetea.
daza steven Tumia akili angalau kidogo mkuu, kilochokuwa kinaoneshwa pale ni kiasi gani yule mbwa alivyo toka sadaka kuokoa familia ya Nasari. Maana nyie watu msivo haya, mkikosa mtu mnaua hata wanyama.
Hakika, kubweka kwake na blocking zake ndio zimemfanya kamanda na ndugu yetu Nasari awe hai mpaka leo hii. Shetani mwovu aliyeshindwa anabwata kwa excuses leo hii.
Wanajitoa akili tu mkuu. Sidhani kama mbwa wao wakifa hawawaziki/hawawafukii. Au inawezekana hawajawahi fuga mbwa waone attachment yake na familia ikoje?
Hapo utakuwa umechanganya desa mkuu. Pale hakuna dua lilisomwa, hakuna maombolezo yaliyotangazwa wala mualiko uliotolewa. Kinacho wapigisha wadau kelele ni roho mbaya baada ya kumuona Lema na Nasari wamemshika yule mbwa miguu wakati wa kumdumbukiza kwenye shimo. Labda niuze, we wakifaga...
Kama vipi hamia CCM, mnyama nae kaumbwa afu istoshe haikufanywa ishu ya kitaifa. Ni watu kwa fahari zao tu waliamua kuposti. Kama ungepata mualiko au kuombwa mchango ndio ungebwata. Unaacha kuona upumbavu wa bashite kufanya party mlimani city kwa free entrance, lazimisho la discout ya 70%...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.