Recent content by Youth champion

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Je ni ruksa kwa mtu wa bara kumiliki ardhi Zanzibar?

    Ardhi ipo ya kutosha ila kwa mujibu wa Sheria za znz, Ardhi ya znz inamilikiwa na waznz tu na sio vyengine, Unaweza ukanunua na watu watakuuzia ila hautakuwa ni mmiliki kisheria 🙏
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Solution to unemployment problem and improve the living standard of people

    Rethink again and ask yourself if that solution u provide is really matter ? The more days move on Dunia inashift to Automations (AI), angalia major car producers wote duniani kila siku wanapunguza wafanyakazi na kuanza kutumia robots.
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Mikoa ukienda kufanya biashara support inakuwa ndogo kwasababu sio mzawa au kabila moja, unawezaje kutoboa?

    Mkuu niliomba samahani kama kuna mtu nitamkazwa, mimi sio mzawa wa Arusha ila nimeishi kwa miaka zaidi ya minne, nilicho andika ni mtazamo wangu
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Mikoa ukienda kufanya biashara support inakuwa ndogo kwasababu sio mzawa au kabila moja, unawezaje kutoboa?

    Uzi makini sana Mkuu, Ila now days still zipo app ambazo just unalipa Tsh 10,000/= per month lakini still watu hawatumii. Tupe uzoefu wa eneo unaloishi hali ipo vipi katika matumizi ya teknolojia hizi 🙏
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Mikoa ukienda kufanya biashara support inakuwa ndogo kwasababu sio mzawa au kabila moja, unawezaje kutoboa?

    Wakuu Habari, Wakongwe wa biashara tunaomba uzoefu wangu hapa:- Now days kuna bookeeping and record keeping apps and software nyingi sana lakini kwanini tulija madukani kwenu hatuoni mukizitumia wakati ni kama mumerahisishiwa mzigo, Shusheni uzoefu wenu kwanini still munatumia local way badala...
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Nimetengeneza App inayofanana na app ya Threads inayoshindana na Twitter

    Haba na haba hujaza kibaba, Hata Huyo Mark Zuckerberg hakuanza na mtaji kama Alivyo sasa, Everything is all about vision and Commitment [emoji56].
  7. Y

    JamiiForums Tanzania TRA na Machine za VFD, wadau wa ICT na Financial Issues Naombeni mupite hapa

    Wakuu Habari za Majukumu, Samahani sana Wakuu, Nina shauku ya kufahamu hili: TRA wanauza machine za VFD na kuwahimiza wafanyabiashara kununua kwaajili ya daily uses, so, ni requaments zipi ambapo developer anazihitaji kuwa nazo ili awe approved na TRA na System yake iweze kutoa huduma kama za...
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Nimenunua home theater LHD657 Model, lakini cha ajabu ina Sauti ya kawaida sana

    "Habari, watu wangu! Karibu Rahisi Point, mahali pa kujipatia TV na SABUFA kwa bei poa kabisa! Tunakuletea ofa za kusisimua na huduma bora kabisa. Piga kambi nasi kwenye safari hii ya ununuzi smart! [emoji342][emoji91] [emoji419][emoji419] Pia unaweza kupata OFFER YA Blender au jiko la umeme...
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Mikoa ukienda kufanya biashara support inakuwa ndogo kwasababu sio mzawa au kabila moja, unawezaje kutoboa?

    Wakuu Naombeni ushauri katika jambo Moja :- Kumekuwa na mazoea kwa baadhi ya Mikoa yetu TZ, ukienda kufanya biashara au kampuni, support inakuwa ndogo bcoz sio mzawa wa eneo Lile au mkabila wa pale. Hasa Mikoa ya Arusha na Kilimanjaro (Samahani ) Naombeni maarifa yenu, unawezaje kutoboa...
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Je, Kampuni za Utalii wanawapata wapi watalii?

    Habari, Naamini Kupitia uzi huu watu wengi Sana tutakwenda kunufaika Kupitia majibu yatakayotolewa katika swali langu: Naamini kwa wakaazi wengi wa Arusha -Moshi, Zanzibar watakuwa ni shahidi wa hili, Tumekuwa tukiona watalii wanaongezeka au hata kupishana nao wakiwa katika magari yao au...
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Watanzania tulidanganywa sana na Utawala wa Awamu ya Tano

    Wewe upo nchi hii lakini ?? [emoji38] Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, Acheni ujinga
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Changamoto wanazomutana nazo Kampuni Changa

    Ahaa sawa
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Changamoto wanazomutana nazo Kampuni Changa

    Kwanini?? How about friends ?
Back
Top Bottom