Recent content by your fav neighbour

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Je, Halotel Unlimited Internet ya 50,000 kwa mwezi ni nzuri?

    Habari mkuu nimejaribu kufata hizo steps lakini inagoma ,hasa kwenye kipengele cha kuingiza number
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Sawa mkuu anayachemsha au ?
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Kama hutojali mkuu unaweza unielekeze hizo dawa?
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Barikiwa ndugu matumizi yake tafadhali
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Aliwahi kutumia zamani kidogo na alifanikiwa kubeba ujauzito sema haikua ridhki ,changamoto ni kwamba kwa sasa hedhi inakuja na kupotea hata miezi mitatu mpaka sita .
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Ndugu yangu anasumbuliwa na tatizo la kukosa hedhi ,hivyo inakua ngumu kushika ujauzito ,naomba ushauri tafadhali
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Hii inakuaje mkuu kwa airtel
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Mkuu hii inakuaje ? Fafanua kidogo
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Huduma ya usafi na super cleaning service

    Tunafua na kusafisha nyumba kisasa zaidi Wasiliana nasi 0789392540
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Huduma ya usafi na super cleaning service

    Huduma zetu ni bora na uhakika
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Huduma ya usafi na super cleaning service

    🧹 Karibu kwa Huduma ya Kusafisha ya Super Cleaning Service! 🧽 🏠 Tunatoa huduma ya kufanya usafi kwa majumba, ofisi, shule, na hata kumbi za starehe! Pia, tunajihusisha na kufua nguo majumbani, kunyoosha, na kufanya usafi wa jumla wa nyumba. 📍 Tupo Mbezi Beach Shule, hapa ndio makao yetu makuu...
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Mimi na Mimi

    Tuongezee episode nyingine tony
Back
Top Bottom