Recent content by Youngwits

  1. Y

    Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu ishanichanganya hapa!

    Aisee fuatilia ndugu kwenye ofisi zao jamaa wanajua sana kuongeza deni ila hawajawahi kukosea ukapunguziwa deni.
  2. Y

    Topic chuoni huwa zinajulikana kila semister? Mtu anaweza kujisomea kabla hajaenda chuo?

    Wanangu kwema! Je, katika elimu ya chuo kikuu, kwa coz mfano ya Bachelor of education in management and administration, topic zake huwa zinajulikana kwa Kila semister kiasi kwamba mtu anaweza jisomea kabla hajaenda chuo husikaaa?
Back
Top Bottom