Topic chuoni huwa zinajulikana kila semister? Mtu anaweza kujisomea kabla hajaenda chuo?

Youngwits

New Member
Nov 1, 2020
3
4
Wanangu kwema!

Je, katika elimu ya chuo kikuu, kwa coz mfano ya Bachelor of education in management and administration, topic zake huwa zinajulikana kwa Kila semister kiasi kwamba mtu anaweza jisomea kabla hajaenda chuo husikaaa?
 
Wanangu kwema!
Je katika elimu ya chuo kikuu, kwa coz mfano ya Bachelor of education in management and administration, topic zake huwa zinajulikana kwa Kila semister kiasi kwamba mtu anaweza jisomea kabla hajaenda chuo husikaaa????
ndio...topic inaitwa session na somo linaitwa module
 
Back
Top Bottom