Tafuta supplement inaitwa horny goat weed ipo phamarcy kubwa kikopo 30k ni natural , pia kunywa na gingsen zipo pharmacy kutwa Mara 2 ,licha ya hapo kunywa tangawizi kila sku week2 ,Tafuta vitunguu saumu punje 2 kabla ya kulala, kula ndizi mbili asubuhi na jion,Tikiti moja kila siku ,Ovacado...
Ila hap ndo naona tofauti Kati ya majukwaa ya wenzetu kama Quora na sisi kweli Africa akili kisoda mtu anaomba ushauri mnaropoka mzee mwenzangu hiyo sio HIV maana haina dalili hizo na dalili zake sio mapema hivyo , iyo labda ni herpes simple, au Gono ,Syphlis kapime hayo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.