Recent content by youngmullerboi- tz

  1. youngmullerboi- tz

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Kanisa la Ufufuo na Uzima kufurika Jumapili hii kuliko siku zote

    Viongoz wapo ili kukemea maovuu so tulia uone kazii yakeeeee
  2. youngmullerboi- tz

    JamiiForums Tanzania Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

    Big up nape lakin washauri wana ccm wenzako waamke waache ujinga 2020 jina LA jpm piga chin tusonge mbele Tooo much but now its enough fyooooooo tumechokaaaa
  3. youngmullerboi- tz

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Haitoshi kumlilia Nape, Tunapaswa kuchukua hatua kumuwajibisha Rais

    Wapeleke flash ya watu wakeshashindaaaaaaa
  4. youngmullerboi- tz

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe kadhalilishwa?

    Ni sahihi huwez tumia mdomo kuongozaaa
  5. youngmullerboi- tz

    JamiiForums Tanzania Sakata la Makonda: Ruge wa Clouds Media ahojiwa na Polisi

    Hii ni tamthiliya ya kikoleaa
  6. youngmullerboi- tz

    JamiiForums Tanzania Makonda Alienda Clouds Kufuatilia Documentary Yake ya Mwaka Mmoja Madarakani

    Tunashukuru naona unajaribu kutoa maon hafifuu
  7. youngmullerboi- tz

    JamiiForums Tanzania Kesi za kuzuia uchaguzi TLS zatupiliwa mbali na Mahakama Kuu, uchaguzi uko pale pale

    Tuna kaz moja ya kujiamin na kutokata tamaa na kutorud nyuma saiv mchezo uko nje tena peupe hongera sana kwenu makamanda na mh.lissu kwa hatua hiyoo
  8. youngmullerboi- tz

    JamiiForums Tanzania Aliyetupa Macho asiweze kuona?

    Mungu yuko na sisi na yuko na kamanda lissu mtetezi was haki na sheria na thaman ya mtanzania
  9. youngmullerboi- tz

    JamiiForums Tanzania Yusuph Manji awekwa chini ya ulinzi siku 20, aiomba mahakama iingilie kati

    Hakika Mnyonge mnyongeni Tena manji kawa mkimbizii ety CIO mubongo basi democracy na haki ya mtanzania IPO kwenye dustben
  10. youngmullerboi- tz

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yapiga Marufuku ndoa kufanyika bila ya vyeti vya kuzaliwa kuanzia 1/5/2017

    Kila siku mpya kila MTU husinama na kusema yake jeh Tanzania Tunaongozwa na sheria na katiba jeh hayo yote yame be adresed kwenye constitution au lengo kukomoa wana nchi na kuwafanya kama wakimbizi maana kuna watu wapo kwenye ndoa na wanafamilia jeh watahesabika kama ??? Wakosefu au wafunja...
  11. youngmullerboi- tz

    JamiiForums Tanzania Meya wa Ubungo kufungua kesi ya jinai dhidi ya Paul Makonda kutokana na madai ya kuwa na vyeti feki

    Hapa sasa waheshimiwa chakula kilikuwa jikoni ila mboga na unga ndo fimefika sasa baada ya muda maji kuchemka kwa mda mrefu kipindi mpishi wetu anapika naomba tunawe mikono ili kumupunguzia kaz akimaliza cc tumusaidie kutenga chakula mezanit
  12. youngmullerboi- tz

    JamiiForums Tanzania Hizi zaweza kuwa sababu zinazomfanya Makonda aendelee kuwa RC Dar

    Tunalitambua hilo kwamba anazkngatia vitina tyuu
Back
Top Bottom