Mtoa mada ww ni mzalend na chuo
Mtoa mada kwa hiz hoja Zak hii nchi inamapunguf ya wasom ila inawajuaj weng kinoma waliopita DIT,CBE na IFM ni saw na veta Yan kwa hizo hoj zako hiz 4 Bora Nyerere asingepambania uhuru
Mm nimwanafunz wa chuo Nina kias Cha M1 je ni liqud fund au bond fund lip ni chagua Bora kwang matumiz ya fedha ni baada ya kumaliza chuo wakuu msaada wenu time value of money ni muhim
Kk kunywa soda nakuj kulipa online ni veta tosha unapat skill kibao kikubwa bando tu na uvumilivu huko veta mm nashaur waende fata vyet vya udereva kwa sababu hap mbele shida kupat liseni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.