Recent content by Youngdsm

  1. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Good nyt my cwty love!

    Tazama kiza kimeingia, na nuru ya jua imepotea sina budi yalomema kukutakia na dua njema kukuombea, usiku mwema.
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Wazee wengine bhana! Hebu soma hii ucheke.

    Kuna mzee 1, aligongwa na pikipiki, ikamuangusha chini na kulalamika kwa maumivu, akatokea msamaria mwema akaagiza "MLETEENI MAZIWA!" yule babu kusikia vile akasema "NA MAANDAZI MATATU".
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Mchaga atoa kali

    yap its 2rue
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Mchaga atoa kali

    Mm siiimoooo! Muulize mchaga
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Mchaga atoa kali

    Katika safari kulikuwa na MZUNGU, MCHINA ,MMASAI & MCHAGA, ... Wakiwa katikati ya safari meli ikaanza dhoruba na kuelekea kutaka kuzama, ikalazimika kila mtu atupe baharini mizigo aliyobeba, akaanza MZUNGU akatupa computer hukuakisema "TUTATENGENEZA ZINGINE ULAYA". Akafuatia MCHINA akatupa...
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Hii sasa kali!

    Jamaa aliamua kutoka 'OUT' na dem wake, kufika hotelini mhudumu akamuuliza jamaa "mngependa niwaletee chakula gani?" jamaa akajibu "usijal me niletee MENU" then mhudumu akamuulza yule dem, "je na wewe ungependa nikuletee nin?" ili dem asionekane mshamba naye akajibu "NAMIMI NILETEE MENU, ILA...
  7. Y

    JamiiForums Tanzania kithembe

    Uthijali, nitakununulia thiku ya jumamothi!
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Ngoja nikujoke

    Twende twende babu yako amezeeka mpaka ngozi yake anafunga kwa pini.
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Babu aumbuka

    Babu baada ya kwenda mjini akitokea kijijini alipokelewa kwa vyakula na vinywaji vyakutosha, mpaka akasaza, baada ya kushiba na kuanza kunawa mikono, akasikia mwenyeji wake akìsema "weee david? Hebu mletee babu yako tishu", babu kuskia vile akasema "aah jamani nimeshiba, hizo tishu niwekeeni...
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Duh! Walimu wanakazi! Hebu icheki híi>

    Kwan hata pana eleweka clas?
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Duh! Walimu wanakazi! Hebu icheki híi>

    Umeönae?
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Duh! Walimu wanakazi! Hebu icheki híi>

    Dogo:kitendawili? Wanafunzi:tegaaa! Dogo:nivue nguo nikupe utamu mwalimu: wewe mtoto hebu wacha kutukana, nitakuchapa?... Dogo:kumbe mwalimu ww pia kilaza? Jibu lake ni NDIZI!.
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Usaliti katika mapenzi

    Hebu tuongee kidogo, hivi unahisi usaliti katika mapenzi unasababishwa na nini?
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Atoa kali

    2kutane next
Back
Top Bottom