Recent content by Young_sammy

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Kuna wenye uelewa zaidi wa kinga hii ya PREP?

    Na wewe unatak utuuzie m3 maramia nitumie roughrider
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Kuna wenye uelewa zaidi wa kinga hii ya PREP?

    Prep imethibitishwa ni salama zaidi ya asilimia 90 hasa Truvada naweza kukutumia tafiti 5 tofauti kuthibitisha hilo
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Kuna wenye uelewa zaidi wa kinga hii ya PREP?

    Kuepuka hyo yote ni bora utafute truvada
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Kuna wenye uelewa zaidi wa kinga hii ya PREP?

    I hope ulimaliza dozi
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Kuna wenye uelewa zaidi wa kinga hii ya PREP?

    KimChi said check hii image unaweza pata kitu
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Kuna wenye uelewa zaidi wa kinga hii ya PREP?

    Cijamanisha kwamba kwenye prep kuna dawa mbili, prep ni terminology lkin dawa ambzo zinafanya kazi kulingana na meaning of of prep moja wapo ni Truvada ambyo inacomposition ya dawa mbili ndani yake kma nilivyo zinataja hivohivo na pep kama terminology or action INA dawa ambzo zipo za aina tatu...
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Kuna wenye uelewa zaidi wa kinga hii ya PREP?

    Yah swala LA prepila no gharama s Kuna utafauti mkubwa kati ya prep na pep.Prep in pre-exposure prophylaxis (au huitwa (Truvada kama brand name) na ni muunganiko wa dawa mbili ambazo ni (tenofovir and emtricitabine) Kwaio kma unatka ufanye mpenzi bila kinga nikimanisha kondomu(unprotected...
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuagiza simu za Tecno na Itel kwa bei ya kiwandani

    Hii inaitwa connection juu ya connection mtoa mada ingia alibaba search hizo simu utapata tuuh main source pia usisahau kuhakiki hicho kiwanda kupitia balobalozi China zilizopo hpa nchin. Kwa uzoefu wangu simu nying za button hasa techno na itel kiwanda order huanzia PC 3000 n bei yake huwa...
  9. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki yangu amebakiza mwezi mmoja kuishi kutokana na uraibu wa sigara na pombe kali iliyosababisha saratani ya mapafu

    Ivi nkuhusu uvutaji wa shisha cijue
  10. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki yangu amebakiza mwezi mmoja kuishi kutokana na uraibu wa sigara na pombe kali iliyosababisha saratani ya mapafu

    Haha kuacha nko no jitihada binafsi
  11. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki yangu amebakiza mwezi mmoja kuishi kutokana na uraibu wa sigara na pombe kali iliyosababisha saratani ya mapafu

    Nyanda za juu kusini hasa mkete Ila mm nipo iringa Nina miti mitatu mikubwa nilipanda kipindi cha nyuma
  12. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki yangu amebakiza mwezi mmoja kuishi kutokana na uraibu wa sigara na pombe kali iliyosababisha saratani ya mapafu

    Kwa kinga na uzoefu na mizizi ya musekwa ambyo hukinga maradhi kma kisukali blood pressure cancer na mengine mengi
  13. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki yangu amebakiza mwezi mmoja kuishi kutokana na uraibu wa sigara na pombe kali iliyosababisha saratani ya mapafu

    Majani unayapima yafike kilo moja unachanganya na maji litre mbili the unayachemsha Dozi kwa week mbili za kwanza unakuwa unakunywa asubuhi na jioni kwa kutumia kikombe cha robo litre nusu SAA kabla ya kula Wengi wao baada ya kunywa hujisikia kizunguzungu na mwili kukosa nguvu ila ndo ufanyaji...
Back
Top Bottom