Recent content by Young Teacher

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

    Duu hawa viumbe ni shida mi sijasomesha nilimsaidia mahitaji tu lkn kamaliza masomo kageuka jike shupa hata kupeleka barua nimeghair bora maumivu yaishie hapa hapa. Ila sijajuta naamini Mungu hupanga mambo yake na huwa hayafail kwasabab mwanadamu kapanga lake.
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Kwa kujifungia ndani, watalii na wawekezaji kuongezeka awamu hii ni ndoto

    Watanzania ni wanafiki huwa hatujui tunachotaka na hatuna kauli moja kwa lugha nyingine vigeugeu au labda hatujui tunachotaka. Mh. J K alikuwa anatoka sana nje akasemwa kwamba anafuja kodi kwa kusafir kwake tena ikadaiwa anakoenda si kwa manufaa ya Taifa ila starehe zake tu. Nashauri tuwe wa...
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Linakuhusu kwasababu umezidi utukutu
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Special thread: Ujinga ni?

    Ujinga ni kuilaimu ccm kwa umaskini uliosababishwa na uzembe wako wakati jirani yako anaenda sokoni na hammer alilonunua chini ya utawala wa ccm
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Walimu 8 wakamatwa kwa kujihusisha na mapenzi na wanafunzi

    Jamani mnatuonea bure watoto wanatutia majaribuni huwa wanatutega, so mtu aliyetegwa kunaswa ni mafanikio ya mtegaji na anguko kwa mtegwa sasa hapa aliyeshindwa ndo anaandamwa kuliko aliyekusudia. Ila nashukuru kwangu wanashindwa kuna dogo alinifata eti ananikopa buku5 halafu ananirembulia...
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kikwete amehama ikulu sasa anaishi msoga
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli katumia barabara kutoka Dar kwenda Dodoma

    2szs see eelolllllkllkSe
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mchwa wana akili sana, wanaushirikiano ktk utendaji wa shughuli zao lkn watz mh!
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli katumia barabara kutoka Dar kwenda Dodoma

    Ya taa
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli katumia barabara kutoka Dar kwenda Dodoma

    Kuna utofauti wa muda na cheo, ulikuwa waziri sio rais, ulikuwa muda uliopita ila msafara ni current, inamaana changamoto zitakuwa tofauti kwa kigezo cha muda na uwezo wa kuzishughuliki nao ni tofauti kwa kigezo cha mamlaka aliyokuwa nayo.
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli katumia barabara kutoka Dar kwenda Dodoma

    Na akipanda fastjet mtasema apande shabiby, akipanda shabiby mtasema apande lory! Mambo ya binadaaam hayo!
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli katumia barabara kutoka Dar kwenda Dodoma

    Hakuna mwaka ukizitoa hizo week 2, assessment zipo za sina nyingi watu walitumia ya awali kumpa kura, hii wanauomsifia ni endelevu kwahyo usitumie mihemuko yako na chuki ambayo hukuondolea imani juu ya mtu usiyempenda.
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli katumia barabara kutoka Dar kwenda Dodoma

    Nimeskia ana matatizo ya moyo kupenda nchi take na wananchi wake, akipanda ndege hovyo na kulitia hasara Taifa atateseka sana.
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli katumia barabara kutoka Dar kwenda Dodoma

    Wachawi wapo wa vitengo vyote, hata angani watamtungua
  15. Y

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli katumia barabara kutoka Dar kwenda Dodoma

    Rais wa nchi hawezi kutembea umbali wa km 500 ndani ya ncho yake asipate kitu cha kukifanyia kazi, ktk safari hii anakuwa na fursa ya kuziona changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi kwa macho yake.
Back
Top Bottom