Recent content by young kiing

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana kumpenda mtu deeply bila kumuona?

    Ndio inawezekana,tena ule upendo wa dhati,ukiskia tu sauti yake basi unajikutana unasafiri mbali sana kihisia. ila kinacho tokea hapa ni kua kutokana na sauti yake kichwani mwako unajijengea taswira ya jinsi alivyo,hivyo unazidi kumpenda,ni kama vile ukisimuliwa hadithi,kichwani unajenga...
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuchezea block toka kwa mpenzi wako? (Ushuhuda)

    Hahah,mkuu kwa kifupi hapo ulishoboka ila hizo status ulizoona anapost wala haikua zinakuhusu,kwakifupi ana jamaa yake anae mpeleka speed,ivo wew ulivamia sherehe isiyo kuhusu.
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Ukikutana na your date ambaye yupo tofauti na picha zake anazokutumia utafanyaje?

    Yani unaagiza Pizza linaletwa beseni la makande. Unajua mara nyingi mkikutana mitandaone siku ya kuonana ana kwa ana ni 5% tu ya watu hujikuta wote wanaendelea kuridhiana,wengi lazima mmoja amuelewe mwenzie na mwingine aone kakutana na kituko.
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Tunazeeka kwa kasi. Wale wa 1985 sasa ni miaka 40

  5. Y

    JamiiForums Tanzania Msanii Ali Kiba aachia EP yake ya "STARTER The EP"

    No 4.hatari
Back
Top Bottom