Recent content by young eagle

  1. young eagle

    Mimi ni mfanyabiashara maarufu natafuta mwenza

    Mke bora hutampata eti kwa umaarufu wa kibiashara haya ni mambo mawili tofauti na kwa sababu umetanguliza status mbele bas utakayempata atakuja kwa sababu ya kukuchuna tu
  2. young eagle

    Mimi umri wangu unaniruhusu kuwa na familia, lakini mpenzi wangu ana miaka 18

    Chunguza je anakupenda kweli? Au anataka awe na wewe kwa sababu ya kazi isije ikawa ni kwa sababu ya hali ya nyumbani kwao tafuta mbinu ikibdi mpe mitihani itakayokufanya utambue kama kweli she loves you for real
  3. young eagle

    Hii ni sawa kweli?

    Tusaidie huwa mna maana gani maana huku si kutafuta kupendeza wakati mwingine mschana anavaa nguo ambayo inaonyesha maumbile yake mpaka nguo ya ndani inajulikana rangi yake lakin uyo ni mpenz wa mtu sasa uku ni kutafuta kupendeza? Tusaidie tufahamu
  4. young eagle

    mdada ambaye ni bosi wangu ananitaka kimapenzi,nifanyeje?

    Ili umpate njiwa kwenye mtego lazima umwekee chakula anachokipenda(choroko,karanga,mtama n.k fumbua machoo
  5. young eagle

    Wanawake mnavuruga ndoa sababu ya kujilinganisha na wanaume

    Ndio maana ndoa nyingi hazidumu tatizo ni kwamba wameacha vile Mungu alivyoagiza mwanamke amtii mumewe na awe mnyenyekevu hata kama mwanamke awe na elimu au mali kias gani lazima ieleweke tuu yeye yupo chini ya mwanamume alichotamka Mungu kamwe hakiwez kupingwaa
  6. young eagle

    Ndoto: Mchumba wangu amekua kichaa

    markia Zidisha maombi juu yake na pia umwambie kuhusu iyo ndoto ili kama kuna mambo anayafanya yenye kuweza kumpelekea kuwa ivyo ayaache
  7. young eagle

    Baada ya kunikataa, amefanyiwa mchezo mbaya na kukimbilia kwangu

    Haya sasa hicho ni kipimo cha upendo wako ila kama ni mimi siwez kukubali yaani mpaka mtu apatwe na tabu ndio aone uthaman wangu?? Na je tabia ya ulev ataiacha? Mi nakushauri mwache aisee
  8. young eagle

    Mwanamke mzuri ni msumbufu?

    Hongera najua kwa nn umetulia ni kwa sababu umeokoka na unahofu ya Mungu bila hivyo ni ngumu....ntamwomba Mungu anipatie kama wewe:thumbup::thumbup:
  9. young eagle

    Mwanamke mzuri ni msumbufu?

    Hili nalo neno
  10. young eagle

    Mwanamke mzuri ni msumbufu?

    It means utakiw kumlemba lemba?
  11. young eagle

    Mwanamke mzuri ni msumbufu?

    Ila mkuu mwanamke akijijua mrembo na akawa anasifiwa kila kona akianzisha mtiti yaan utambembeleza mpaka uchoke
  12. young eagle

    Mwanamke mzuri ni msumbufu?

    Absolutely truth
  13. young eagle

    Mwanamke mzuri ni msumbufu?

    Yeah thats point mkuu
Back
Top Bottom