Habari Zenu,
Hivi Watanzania wako tayari kumpa urais (2015) mtanzania mwenye asili ya Kiarabu au ya Kihindi, yani babu wa mababu zake alikuwa Mwarabu au Mhindi?
Je, wewe uko tayari ?
Kama hapana, unafikiri after how many years or generation you can vote for someone of a foreign origin...
[ ]Cartography: The true true size of Africa | The Economist
The true true size of Africa
LAST month Kai Krause, a computer-graphics guru, caused a stir with a map entitled "The True Size of Africa", which showed the outlines of other countries crammed into the outline of the African...
Habari Zenu,
Habari yenye nimeisoma inasema kama ndugu yetu moja, Luteni wa JWTZ kule DRC amefariki leo (October 27, 2013) asubuhi saa 11h10. JWTZ(MONUSCO - UN Brigade) ilikuwa inapeleka askari wake kule Kiwanja, 80 km north of Goma. Haijulikani kifo imesababishwa na nini, labda sniper, lost...
Mkuu nkosikazi ,
ulitaka suti, red tie na viatu nyeusi? kama wale europeanised-black-africans, to name few big brother Uhuru and Ruto.
utanisamehe lakini tatizo ya Waafrica ndio hiyo, tunachagalia mavazi kuliko vitendo,inasikitisha.
samahani bro ! :wink2:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.