we mtoa hoja acha uongo
nimemsikia kwa masikio yangu kerry na Larlov wakisema watakuwa na kikao kwa ajili ya kuepuka mgongano. kama hauna la kuongea kaa kimya
Tusifanye makosa kama kwa kikwete kumchagua mtu ambaye anakubalika with no supportive evidences if not enough. Nitaangalia sera zake kama zitakuwa za kimagumashi mvuto wake umegonga mwamba
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.