Hatimaye usiku wa deni haukawii kucha ,real wawe makini sana na vijana wawili wa liverpool Luis Diaz na mo.salah ni vijana hatari sana,na liverpool itabidi wawe makin na vijana hawa madrid wa kibrazili vinicius jr na rodrigoes ni vijana hatari sana kwa...
Mimi sio mwenyeji wa mbeya ila Nimeishi mbeya miaka mitano kipindi nasoma ,nimejionea vijana wanapenda soka toka damuni sio kwa kulazimisha kilichokosekana mbeya ni kukosekana uwezeshaji wa vipaji vya soka, mbeya vipaji viko vingi sana ukienda wilayani huko ni balaa...
USA katika wizara zinazotazamwa sana ni ulinzi na wizara ya mambo ya nje hizi ndizo zinaifanya marekani kuwa taifa lenye nguvu kijeshi na kiusalama na mbinu za kukuza uchumi
Wadau leo ligi nyingi zinaisha hivyo rekodi zinaoyesha ligi zikiwa zinaisha kanjibai anapigwa sana mimi leo natembea na hizi game mbili ,SASSUOLO VS AC MILAN GG YES,CRYSTAL PALACE VS MAN UTD OVER 9.5 CORNER 2+ odds ,SAFE 100%nastake 50k"toeni comenti wadau"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.