Recent content by Yohana Daniel

 1. Yohana Daniel

  Je, Nisahihi kwa mpangaji mwenzako kukutukana kisa kuchelewesha kulipa pesa ya maji?

  Nilitaka nimvuruge ila basi nikaona nitajikosesha heshima
 2. Yohana Daniel

  Je, Nisahihi kwa mpangaji mwenzako kukutukana kisa kuchelewesha kulipa pesa ya maji?

  Mwenye nimeshamwambia Lakini naona hatoi Majibu ya kuridhisha "Eti tukikaa kikao utatoa dukuduku lako" mwenye nyumba huyo
 3. Yohana Daniel

  Je, Nisahihi kwa mpangaji mwenzako kukutukana kisa kuchelewesha kulipa pesa ya maji?

  Habari za sasa ndugu zangu mimi sio mgeni ila ni mara ya kwanza kuandika katika jukwaa la Sheria. Naomba msaada wa kisheria kwa kilichonikuta mwenzenu, hapa nilipopanga kuna mita ya maji imeharibika sababu watoto wanaichezea Kinachotakiwa ni kwamba tunatakiwa tuchange kuinunua wapangaji wote...
 4. Yohana Daniel

  TAFADHALI NAOMBA KUJUA MATUMIZI NA FAIDA ZA TEMBO CARD (UNION PAY) CRDB

  Habari za saa hivi wapendwa wanajamii forum natumai wengi wetu ni wazima wa Afya Niende moja kwa moja kwenye mada husika, siku za hivi karibuni nimetoka kufungua account bank ya crdb na nilifanikiwa kufungua account ila wamenipa ATM card imeandikwa union pay. Naomba kujua matumizi ya union pay...
 5. Yohana Daniel

  PROGRAM NZURI ZA KUEDIT PICHA KWA COMPUTER

  Na cc 2018 je ipi nzuri Sent using Jamii Forums mobile app
 6. Yohana Daniel

  PROGRAM NZURI ZA KUEDIT PICHA KWA COMPUTER

  Asante sana mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
 7. Yohana Daniel

  PROGRAM NZURI ZA KUEDIT PICHA KWA COMPUTER

  Happy new year wapendwa wa JF natumai wote tunafurahia kuupokea mwaka Naomba kufahamu ni program gani nzuri ya computer ambayo unaweza kuedit picha nzuri ikiwa na autofocus ya ukweli Maoni yenu kwa wanaojua kama asante. Sent using Jamii Forums mobile app
 8. Yohana Daniel

  Msaada juu ya APPLICATIONS za notes(lectures) za vyuo vikuu

  Ingia play store pakua app inaitwa wakuxoma utapata utakacho
 9. Yohana Daniel

  JE USEMI WA KUWA UKISOMA COMPUTER SCIENCE HAKUNA AJIRA NI KWELI?

  Walijaribu kutengeneza helcopter Kama mfuatiliaji wa taarifa
Top Bottom