Malisa upo sahihi kabisa,wakaz wengi wa siha ni watu wanaopenda kutenda na wagumu kubadilika wanapoamua,Mwanri alikwishaharibu na hata 2010 alishinda kwasababu CHADEMA walikuwa na mgombea dhaifu eng Tuni,ninakumbuka hata Dr Mollel alipokuwa CCM bado alimsumbua jamaa kwenye kura za maoni.Jamaa...
Natafuta Makoko yanayoanza kutaga kwa bei kati ya shiling 5,000/= na 6,000/=.
Yasipungue makoko 40.
Napatikana kabuku Tanga, kwa yeyote alie karibu ama aliye dar na mwenye mzigo huo wa kutosha nipigie kwenye namba 0714639590.
Ni wazo zuri, linataka thorough survey. one big challenge ni Mtaji. unatakiwa uwe na takriban 50M. kuhusu kibali sijajua vinatolewa kwa utaratibu gani, ila pia kama utaanzisha kama mjasiriamali mdogo unaweza kupata ahueni. pia naomba kupata mawasiliano ya LAT anaweza kunipa challenges...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.