Recent content by Yogitabal

  1. Y

    Madeni Yanakutia Stress? Fanya Hivi...

    Mungu akubariki Doctor, huwezi jua kupitia hili somo umeokoa watu wangapi. Ahsante sana.
  2. Y

    Naombeni fursa za biashara mikoani

    Hapana sikuogopa kuleta, sijapata mtu nikafanya nae biashara, naona kama nikipata mtu mfano Mwanza nasikia wanashida sana na viatu vya shule vya ngozi. Sasa natamani nipate mtu tukaaminiana tufanye biashara. Nakumbuka kabla ya corona nilikuwa naweza kusafirisha nguo za kiafrika Ulaya Ila toka...
  3. Y

    Naombeni fursa za biashara mikoani

    Ndoto yangu ya kila siku, nashukuru kwa kuleta mjadala huu.
  4. Y

    Naomba ushauri juu ya hii biashara ya kuagiza bidhaa mchanganyiko kutoka Japan

    Sasa hiyo trust ya mtu kukutumia pesa nyingi na mtu haupo Tanzania halafu ndo unaanza yaani kaka si kitu rahisi, imagine unauza goggles kwa sh. 25,000 mtu anagoma kabisa kutuma advance just half of the price, ndo ikaje million haki trust kwenye business ni changamoto.
  5. Y

    Naomba ushauri juu ya hii biashara ya kuagiza bidhaa mchanganyiko kutoka Japan

    Hili Lina ukweli kabisa, hizo changamoto hata mimi nilizipitia sana kwenye biashara yangu ya kwanza. Sasa nikaja na biashara ya kuuza vitu vinavyohusiana na swimming lakini lugha hapo ni English tu, yaani chat zote za DM ni English basi bwana trust kama yote kwa wageni mpaka wenyeji. Yaani Sisi...
  6. Y

    Je, na wewe uliziona ndege 12 zikitembea kwa mstari jana usiku?

    Yaani ni Bora umenitoa wasiwasi maana hata Sisi huku Mbweni JKT mida ya saa mbili usiku kilichonishangaza ni ule mpangilio yaani nikasema kweli haya ni maajabu.... halafu in ten seconds zikapotea Ila kwa sisi wageni ile hali inatisha sana. Itabidi niwaambie majirani zangu maana nao walipata hofu.
  7. Y

    Ukiona Dalili hizi jua uzee ndio huo unabisha mlangoni

    Yaaani kwenye hili nami naunga mkono, yaaani nikiingia kwenye gari nikiliwasha tu nazima redio faster, kumbe ni safari ya uzee dooooh na kweli kabla nilikuwa napenda muziki Sana.
  8. Y

    Fatma Karume: Wamasai waheshimu Sheria zetu Wazanzibar

    Ukikuta Mmasai anavyomsumbua mgeni wewe mwenyeji utajikuta unakereka. Yaani ni zaidi ya wasumbufu.
  9. Y

    2024 Jitenge: Somo kwa watiifu

    Nashukuru kwa ukumbusho huu, naamini Mungu atanisimamia kwa yote uloandika hapa. Aamiin.
  10. Y

    Nimegundua na kujihakikishia asilimia mia moja kuwa mke wangu anajichua!

    Je katika ndoa yako umewahi kucheat? kama ndiyo na Je mkeo anafahamu? Kama ndiyo yawezekana shida ilianzia hapo, ogopa Sana mwanamke ambae anakuamini Sana na wala Hana wazo siku kukucheat halafu akajakugundua ulikuwa ulikuwa unamcheat. Huyu hawezi kukucheat isipokuwa atakachofanya ni ye ye...
  11. Y

    Vegetarian tukutane hapa

    Wali, maharage, choroko, kunde, njugu mawe, njegere, vegetables, paneer, tofu, soya nk
  12. Y

    Vegetarian tukutane hapa

    Nadhani hali pizza kwa sababu ya cheese inatokana na maziwa. Huyu nadhani ni vegan na si vegetarian. Maana vegetarian wanakula cheese.
  13. Y

    Wazazi/Walezi mnatumia njia gani kumdhibiti Mtoto asiimbe nyimbo zenye mashairi ya kuhamasisha ngono/matusi hasa za wasanii wa Tanzania?

    Nilipokutana na mwenzangu tukakubaliana tv tutanunua mtoto akifikisha miaka mitano, na pia katika hiyo TV hakuna Mambo ya ving'amuzi, so tumeweka account ya mtoto kwa special program, na Sisi pia tu watch movie mtoto akiingia tu kulala. So ana miaka 9 lakini hajui miziki hata majina ya...
Back
Top Bottom