Recent content by Yna97

  1. Y

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Bajaji Namba B

    Bajaji Bei 1.5M, Iko vzur engine iko vzur, njoo ukague ulipie uondoke nayo mawasiliano 0693 794 907 location Dar es salaam Airport N.B haijaenda body.
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Dereva Bolt, Uber nk., natafuta kazi

    Samahan nilikuwa sijaingia huku siku nyingi, ulifanikiwa kupata? km bado nambie ipo
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ufafanuzi wa kodi ya biashara

    Sijajua alitumia kigezo gan lakn vikundi ni association japo kwny ulipaji wa kodi inaiandikwa CIT lkn haina maana km iyo ni kampun
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ufafanuzi wa kodi ya biashara

    Corporate tax ni kwa kampuni tu iliyokuw registered na Brela. Kikundi iyo ni Association. Unaweza ukawa mtu wa kawaida na biashara yko ina ina business name na usiwekwe kwny category ya kampun
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Dereva Bolt, Uber nk., natafuta kazi

    Je ikipatikana bajaj vp unaweza fanya?
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ufafanuzi wa kodi ya biashara

    Cha kwanza kabisa kodi huwa inatozwa katika vitu vikuu viwili. Turnover (mauzo) na profit (faida). Kodi inayotozwa kupitia mauzo kwa mwaka. Kama mauzo yako yapo chini ya 4M kwa mwaka ww unapewa NIL Assesment (makadirio ya sifuri) kwa maana hulipi kitu. Na una sifa za kutumia kitambulisho cha...
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ufafanuzi wa kodi ya biashara

    Ulifanikiwa kupata jibu la swali lako?
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Embu mnijuze mliowahi kufika na kuishi Rwanda, Zambia

    Bado upo zambia?
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji Choroko, kilo kwa Tshs 1400 Dar

    Unapatikana wap? 0694 259462 nicheck
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji Choroko, kilo kwa Tshs 1400 Dar

    Unahitaji choroko?
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Nakuchek whatsapp subir kdg
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Choroko bado unazo?
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Mtoto kukutwa na kidonda angali tumboni mwa mama

    Hapo kikubwa ninachoona kaka angu ni uzembe wa madaktari. Sababu toka njia ya mke wako kuanza kufunguka hakutakiwa kurudishwa nyumbani zaidi ya kuendelea kubaki hosptali kwaajili ya kumfatilia zaid. Naiman kama angekuwa alibaki hosptali bila kurudishwa nyumbani maisha ya mtoto yangeshaokolewa...
Back
Top Bottom