mara nyingi fikra zetu hutushawishi kwamba wazee wetu wana busara za kutosha kwa sababu ya umri na uzoefu walionao (hili laweza kuwa kweli) lakini tusisahau ya kwamba kila mtu anamatamanio yake na wapuuzi pia huwa watu wazima.
Apo same mashariki, CHADEMA wanaweza kuchukua jimbo.Ukiacha ushabiki wa kiitikadi, Anne Kilango hamuwezi Nagenjwa Kaboyoka kwa devlpmnt strategies.kwa yeyote anayewafahamu hawa wawili vizuri hawezi pinga hili

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.