Recent content by Yeyeli

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada wa jinsi ya kuanzisha shule ya computer short course

    Hahahaha hiyo ya hadi ukamatwe ndo ujifunze kali sana
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada wa jinsi ya kuanzisha shule ya computer short course

    Anha ok.. asante
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada wa jinsi ya kuanzisha shule ya computer short course

    Sijapata hapo kwa elimu ya watu wazima. Yaani naenda jisajili kama natoa elimu ya watu wazima au naend jisajili kwa watu wanaotoa elimu ya watu wazima?
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada wa jinsi ya kuanzisha shule ya computer short course

    Usihofu tena principal[emoji23] [emoji23]
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada wa jinsi ya kuanzisha shule ya computer short course

    Tatizo wengi sasa hivi wanataka na vyeti. Hawataki longolongo
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada wa jinsi ya kuanzisha shule ya computer short course

    Asante sana, umeniongoza pakubwa
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada wa jinsi ya kuanzisha shule ya computer short course

    Haha utasoma buree...
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada wa jinsi ya kuanzisha shule ya computer short course

    Habari zenu wadau! Ningependa kufungua shule ya kutoa computer short courses ila sijui process za usajili wake inakuwaje. Msaada kujuzwa tafadhali.
  9. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anaomba nizame chumvini, inaniwia vigumu

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] khaa
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Ushauri

    Habari zenu! Tokea nianze kufanya mapenzi ni mara yangu ya sita sasa, lakini kadri siku zikisogea sioni uafadhali katika tendo. Huwa nasikia maumivu makali pale mboo iingiapo, maumivu ya kama kitu kinagongwa ndani. Na baada ya tendo huwa na bleed japokuwa siku zangu hazijakaribia. Sasa...
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Blackberry Q10 na Q5

    Shukran Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Blackberry Q10 na Q5

    Naombeni msaada wa kufahamishwa bei za blackberry Q10 na Q5 Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
  13. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uvumilivu una mwisho wake jaman!

    Namshauri....abomoe hyo nyumba aliojenga na msingi wa mchanga...ajenge nyingne yenye msingi wa mwamba...amebugi Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Kwa first year na wanachuo wote

    Tukomeshe ulimbukeni...tukiona thread yakukandamiza chuo..don't support..tuiache izagage.. Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
  15. Y

    JamiiForums Tanzania mbinu za kufaulu chuoni

    Wakuu tuelezeni kuhusu hiyo course mzumbe Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Back
Top Bottom