Recent content by Yetu Macho

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Kamanda Lowassa ndani ya Singida, Afanya mkutano Manyoni

    Hii sasa sifa
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Aluta Continua. Chama ni zaidi ya mtu. Amesimamia upande wake nihaki yake na mapambano yanaendelea. Anauhuru kama ambavyo amekua huru kutimiza matakwa yake kwenye nafasi nyingine alizokuwanazo kuanzia kwenye Dini, CCM, Familia na nyingine. Kikubwa atambue hayo anayoyaongea watanzania wameyasikia...
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CHADEMA: Mnatoa msaada au mnatangaza majina yenu kwenye magari?

    Mandla. Nini kibaya hapo?kwani huo msaada wanakua hawajatoa wao? kama wametoa wao kuna ubaya gani wakiandika kwamba wametoa msaada? au msaada ni siri? mbona wafadhili wa nje wakitoa wao wakiandika ni halali? au kupata msaada kwa mzungu ni halali lakini kwa mweusi au mswahili mwenzako ni dhambi...
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Mke wa Sumaye kunyang'anywa ekari kubwa za mashamba Kibaha

    Tanzania ina eneo la kilomita za mraba karibu 950,000 Na watu chini ya milioni 51. kwa tafsiri fupi tu ni kila mtanzania anatakiwa amiliki zaidi ya kilomita za mraba 47. jiulize kilomita hizo za mraba ni hekari ngapi za mraba? Tanzania bado ni kibwa sana na ingekua uzalendo zaidi kuwahamasisha...
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Mke wa Sumaye kunyang'anywa ekari kubwa za mashamba Kibaha

    Nimuhimu kujua kwamba ni haki ya kila mtanzania kumiliki ardhi katika Nchi yetu. Na hakuna dhambi yoyote kukiliki kiasi chochote cha ardhi so long as unamiliki kihalali. Kama alimilikishwa kihalali ni haki yake na niwakumbushe tu hilo ni eneo dogo sana ukilinganisha na maeneo watu wanayomiliki...
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ahamia upinzani Rasmi - Agosti 22, 2015

    Ni mwendo wa kuwapatia watanzania zawadi ya weekend mpaka tar 25 October. Mwanzo wa Tanzania yenye neema . Tegemea ujio mwingine soon.
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Kilichojiri uchukuaji wa fomu ya mgombea Urais kupitia UKAWA-Lowassa

    Hakika tutashinda na zaidi ya kushinda. Tumebakiza softy parts Kufix. Tuhamasishana kujitokeza kupiga kura. This is true reflection ya GariGari ya watanzania kutaka mabadiliko na mabadiliko hayatapatikana kwa kuishia kwenye maandamano Bali kwa kupiga kura ya mabadiliko.
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Lowassa kuchukua fomu ya Urais Makao Makuu ya CHADEMA

    Dr Wapi? Tuliambiwa humu atakabidhiwa form na Katibu mkuu wa chama. Naona huu mchakato umetawaliwa na Mbowe na Mwalimu . Kulikoni??
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Lowassa kuchukua fomu ya Urais Makao Makuu ya CHADEMA

    Dr Wapi? Tuliambiwa humu atakabidhiwa form na Katibu mkuu wa chama. Naona huu mchakato umetawaliwa na Mbowe na Mwalimi . Kulikoni??
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Full Text: Hotuba ya Wizara ya Fedha 2015/2016

    Mwenye Finance bill atutupie tafadhali
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Full Text: Hotuba ya Wizara ya Fedha 2015/2016

    wakuu hakuna aliefanikiwa kuupata mswada wa sheria ya fedha ? Maana naona hapa kapaka tu rangi ila mambo yote kwenye finance bill ndio tutayapata
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Ngeleja: Zitto aliomba na kupewa milioni 30 kutoka kwa Rugemarila

    Huu ni utetezi wa ajabu sana tena toka kwa mtu ambae anaaninika amehudhuria darasa la sheria( Sina hakika kama ni Mwanasheria) hasa anapoamini kwamba atahalalisha uovu wake kwa kigezo cha uovu wa mwingine kama upo. Hongera ZZK kwakuweka viwango vya uhalali wa kimaadili. Mwanasheria msomi...
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri bungeni Dodoma: Jumatatu 17 machi 2014-Viapo kwa wajumbe, Jaji Warioba Kuwasilisha Rasimu

    Kwani huyo anaetakiwa kuja kuzindua bunge la katiba yukowapi? Analipa umuhimu gani hili jambo mpaka ashindwe kuliweka kwenye vipao mbele vyake vya ratiba? Je inawezekanaje kuwakilisha katiba kwenye bunge ambalo halijazinduliwa? Ni kweli mtu huyu alieweza kutoa msafara toka Uswis na kukatiza...
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz, ndiye tajiri namba moja Tanzania kwa sasa!!!

    Tatozo fobes wanafanyia kazi taarifa rasmi sio utajiri wa magumashi wa kusafisha hela haramu na madawa
Back
Top Bottom