Recent content by yero

  1. yero

    JamiiForums Tanzania Skrill kwenda Mobile Wallet Tanzania instantly

    Kwenye exchange hela inapungua, kumbuka hela inakufikia kwa TZS, fee yangu maelewano
  2. yero

    JamiiForums Tanzania Skrill kwenda Mobile Wallet Tanzania instantly

    Ni chini ya 10%
  3. yero

    JamiiForums Tanzania Skrill kwenda Mobile Wallet Tanzania instantly

    Fee maelewano
  4. yero

    JamiiForums Tanzania Skrill kwenda Mobile Wallet Tanzania instantly

    ..
  5. yero

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Je, nikimuacha nitakuwa nakosea?

    Bado una hasira, ukishapoa na ukapenda tena utapika vizuri tu, tena chakula kitamu zaidi. Mshkaji umemuacha wakati bado unampenda tena sana. Baada ya mda utampata atakaekusahaulisha machungu, utakuwa sawa. Haya mambo hayana rules. Pole.
  6. yero

    JamiiForums Tanzania Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

    Mkuu Bossless kwenye post namba #1, kwa chini, ungeweka inaendelea post namba # ngapi, then post namba # ngapi, hivyo hivyo unaongeza kwa mtiririko, ili mtu anaeanza kukusoma aende moja kwa moja zinakoendelea. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. yero

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimpotezea huyu mwanamke kwa hii kauli ya kishenzi

    Waafrika bana! Hilo ni swali la kawaida sana, ulitakiwa kumuelewesha kuwa kodi iliisha umelipa. Labda asingekuelewa ndio kungekuwa na tatizo. Kitendo cha kuombwa 300K wakati una 350K kilikuchanganya ukashindwa kufikiri vizuri, ndio maana hata hilo swali la kawaida ukalichukulia kivingine...
  8. yero

    JamiiForums Tanzania Kero: Vodacom Tz ni wezi sana nimeshindwa kuwavumilia

    Pole sana mkuu, huu ni mradi wa Vodacom wa kujiongezea mauzo kinyemela! Na hii tabia Vodacom wanawafanyia wateja wao wote wanaonunua salio kisha wanajiunga na vifurushi, hata kama umezima data. Ni mradi kwa sababu, mteja anaponunua vocha ya TZS 1000, na hawezi kujiunga na kifurushi cha TZS...
  9. yero

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Heri ukutane na jini kuliko kukutana na mwanamke shoga

    Wanawake hawafanani, wengine wanapenda kuliwa ndogo wengine hawapendi, kama wanaume pia wengine wanapenda kula tigo wengine hawapendi. Kama umeingia choo cha kike haina maana kuja kulalamika humu, achane nae tafuta mwingine wa kukufurahisha. Maana hapa unapolalamika kuna washkaji wengi...
  10. yero

    JamiiForums Tanzania Kwa wale mabingwa wa kutongoza, huu ndio uzi wenu nitongozeni

    Haya, utanishtua basi! Nakaa pembeni kidogo
  11. yero

    JamiiForums Tanzania Kwa wale mabingwa wa kutongoza, huu ndio uzi wenu nitongozeni

    Asante! So inakuwaje, tufunge uzi au?
  12. yero

    JamiiForums Tanzania Kwa wale mabingwa wa kutongoza, huu ndio uzi wenu nitongozeni

    Vyote
  13. yero

    JamiiForums Tanzania Kwa wale mabingwa wa kutongoza, huu ndio uzi wenu nitongozeni

    Sikusema hivyo, ila nilitania kuwa una mwili mzuri!
  14. yero

    JamiiForums Tanzania Kwa wale mabingwa wa kutongoza, huu ndio uzi wenu nitongozeni

    Kwa mfano mtu anakutania una lips nzuri halafu kweli unayo!
  15. yero

    JamiiForums Tanzania Kwa wale mabingwa wa kutongoza, huu ndio uzi wenu nitongozeni

    Ni matani yaliyo na ukweli ndani yake!
Back
Top Bottom